Robert Heriel anafanana mno na Michael Scofield

Mhh sio mnacheza na brains zetu..?
 
labda dudikoff yule michael mwingine ni UPINDE haipendezi kumfananisha mwenzio na UPINDE
 
Michael Scofield asifiwe kwa uigizaji wake, wa kusifiwa kwa akili ni mtunzi wa prison break. Sasa Scofield yeye anatembea na maelekezo tu unawezaje kumsifia akili hapo!
 
Akili inayotranscend(vuka mipaka) kama ya Mtibeli yahitajika sana kwa ustawi wa taifa letu.Watu wa aina hii wahitajika kuliongoza taifa kwani hubeba maono ya kulifikisha taifa mahali fulani.Akili moja yawezatufundisha,kutuongoza na kutuburudisha tulio wengi
 
Ana mchango Gani katika jamii maandikobyake yanafundisha Nini?

Ameandika kitabu Gani au vitabu Gani?

Namjua Jericho Nyerere ameandika vitabu tunavisoma
Huyu bado hatujamjua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…