Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Heh !nani amekuuliza wewe au kakutag umuoe hata mie sikutaki mtu mbovu kama wewe kifikra . So usidhani eti nakufagiliaga mtu boya kama wewe .Sijakuuliza wewe Mkuu.
Subiri akija kujibu niliyemuuliza huenda ukaelewa kupitia majibu yake
Heh !nani amekuuliza wewe au kakutag umuoe hata mie sikutaki mtu mbovu kama wewe kifikra . So usidhani eti nakufagiliaga mtu boya kama wewe .
Bwana harusi ana like mpk matusi π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Bwana harusi mgaigai Nini?
Ila wewe π€£π€£π€£Bwana harusi ana like mpk matusi π€£π€£π€£
Halafu pesa hana π
π€£π€£π€£
Uongo? π€£π€£π€£Ila wewe π€£π€£π€£
Unajujaje km Hana helaπ€£π€£Uongo? π€£π€£π€£
Ana like sana πππUnajujaje km Hana helaπ€£π€£
Kwakweli too muchππAna like sana πππ
Mashaka yanatoka wapi tena Lamomy πOyoooooooo.!!!! Harusi tunayo π€ΈββοΈ
Sema bwana harusi nna mashaka naye sijui kwann.??? π
We mtu gani ana like mpk matusi?? π€£π€£π€£Kwakweli too muchππ
Msinitenge jamani πShemeji pesa huna πππ
Tafuta pesa, ukoo wetu tunapenda pesa shemeji ππππMsinitenge jamani π
Hata kama sina pesa Leejay49 kang'ang'ana humohumo na ndio kwanza ananikatia miuno ah miuno miunooo ππTafuta pesa, ukoo wetu tunapenda pesa shemeji ππππ
Lamomy soma hiyoooo πWachaa wee... Na venye unapeleka moto vizuri nakuachaje kwa mfanoππ
Mpare asiye na kaziHii kombinesheni ni hatari.
Msabato vs mlokole