Robert Heriel na Donatila hawa members mnaonaje wakawa couple bora?

Salaamu wana MMU...

Binafsi napendekeza hawa members wawe couples kwa mwaka 2024 kama walivo wale wengine (siwataji mnawajua)......hii ni kutokana na uandishi na style yao ya uandishi..

Usisahau kutaja members unaona bado wana matching kuwa pamoja kutokana na miandiko yao kulandana ideas na styles.

Wote watata hao, watazaa watoto manunda...
 
Salaamu wana MMU...

Binafsi napendekeza hawa members wawe couples kwa mwaka 2024 kama walivo wale wengine (siwataji mnawajua)......hii ni kutokana na uandishi na style yao ya uandishi..

Usisahau kutaja members unaona bado wana matching kuwa pamoja kutokana na miandiko yao kulandana ideas na styles.
Katika hao uliowataja wewe ni yupi kati yao?
 
Back
Top Bottom