Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Hebu mpe hi kwanza Genta mukaenjoy kwao Rwanda huko hii valentine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu mpe hi kwanza Genta mukaenjoy kwao Rwanda huko hii valentine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa je embu nipange mchumba 😄Tufanye kitu bhana valentine hii nile chocolate na mimi😋😋
Nakuskiliza wewe tu big boss😃😃,, Nianze kuwatambia mashosti huku statusSasa je embu nipange mchumba 😄
Ni mwendo wa cc Leejay49 😄Nakuskiliza wewe tu big boss😃😃,, Nianze kuwatambia mashosti huku status
Na majina yalivyoendana sana kila nikilike nakutag 😂😂Ni mwendo wa cc Leejay49 😄
Hapo hata wakiwa magetoni ndotoni watazungumza fasihi tuSalaamu wana MMU...
Binafsi napendekeza hawa members wawe couples kwa mwaka 2024 kama walivo wale wengine (siwataji mnawajua)......hii ni kutokana na uandishi na style yao ya uandishi..
Usisahau kutaja members unaona bado wana matching kuwa pamoja kutokana na miandiko yao kulandana ideas na styles.
Aisee kumbe tuna endana eeeeh hadi nimeshindwa kutype 🤗😚Na majina yalivyoendana sana kila nikilike nakutag 😂😂
Ulikua hujui kumbe,,Ndo ufanye fasta basi ni niandae gauni la valentine hapa☺️☺️Aisee kumbe tuna endana eeeeh hadi nimeshindwa kutype 🤗😚
🤣🤣🤣Labda Lamomy na Missy Gf ndio watakuwa huko cate hotel...mimi na Tayana-wog tutakuwa zetu KKKT korogwe ibadaniKwani sindio mtakachokuwa mnakifanya Cate Hotels pale 😀
Nyie ni kipo na mfuniko na mdogo wangu chukua goma hiloAisee kumbe tuna endana eeeeh hadi nimeshindwa kutype 🤗😚
Unataka ukalie wapi chocolate mwaka huu 😁Ulikua hujui kumbe,,Ndo ufanye fasta basi ni niandae gauni la valentine hapa☺️☺️
Naona dada mkubwa unatoa mibaraka😃Nyie ni kipo na mfuniko na mdogo wangu chukua goma hilo
Bora umenipa password! Ntakuwa eneo jirani na hapo pa kuitwa 66. Ukitoka tu unanicheki ratiba zingine ziendelee🤣🤣🤣Labda Lamomy na Missy Gf ndio watakuwa huko cate hotel...mimi na Tayana-wog tutakuwa zetu KKKT korogwe ibadani
Am after you my big Daddy 😍Unataka ukalie wapi chocolate mwaka huu 😁
Nisaidie basi mchakato niteleze 😁Nyie ni kipo na mfuniko na mdogo wangu chukua goma hilo
Whaaaaaaaaat hooo hoooooo can u say it again 😄Am after you my big Daddy 😍
pia leejy fote nai pamoja na lucas mwanshambwa zina matchNgoja nikusaidie Kuwaita Donatila Robert Heriel Mtibeli
🤣🤣🤣🤣Dah,unajua Niko hapo muda huu ngoja niondoke....nimestukaaBora umenipa password! Ntakuwa eneo jirani na hapo pa kuitwa 66. Ukitoka tu unanicheki ratiba zingine ziendelee
Yaah mko na bless zooteee maana naona mnaendena😁Naona dada mkubwa unatoa mibaraka😃
Usinikimbie bana, 😂😂😂🤣🤣🤣🤣Dah,unajua Niko hapo muda huu ngoja niondoke....nimestukaa