Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Love tupo laivu...😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Love tupo laivu...😜
😘😘😘ulisema una watoto wengi ivo nami lazima niongeze Idadi nawe🤓Love tupo laivu...😜
😂😂😂😂We ni kuwadi? Kipikipiki posta?
Sina mtoto beb, achana na maneno ya mwa J mbwa yule aliniambukiza uti grade one 🤨😘😘😘ulisema una watoto wengi ivo nami lazima niongeze Idadi nawe🤓
🤣🤣🤣🤣mbavu zanguu😂🤗Sina mtoto beb, achana na maneno ya mwa J mbwa yule aliniambukiza uti grade one 🤨
Kwani We unajua mi ni ke au Me? 😂 namaanisha Donatila si ni fake ID au verified…?Mwanaume anaitwa Donatila!!
Kutakuwa na namna au hujachakata taarifa kwa haraka 😁😁
Au ndo sura halisi??ntaitoaaa
Umeoa kwetu??Bila shaka unaijua kapo yangu na mwa J mbwa yule 😜
Mi ke, Tena mtoto muzuri mamaaa...Mi najuaga Dona ni mwanaume. 🙄
UmeolewaMi ke, Tena mtoto muzuri mamaaa...
🤣🤣🤣 Nitakutoa pepo la ndoa za mitara...
Ebu tuwekee kapicha tufanye maamuzi magumuMi ke, Tena mtoto muzuri mamaaa...
Ohh safi sana! Now i know… Sasa umfikirie mtibeli tupate wifi wa JF .Mi ke, Tena mtoto muzuri mamaaa...
Mtu yeypte akifikisha miaka 18+ hutakiwi kumuuliza ana mpenzi; kwa uzoefu, huyo lazima atakuwa na wakumfarijiUmeolewa
Hapana mkuu.. Uke wenza siwezi kujaribu 😃Wewe utaweza.
Nitangaze Rasmi
Hapana mkuu.. Uke wenza siwezi kujaribu 😃
Weee sema kweli 😃😂😂... Tatizo raraa reree ni robot angekua mtu ingekua poa sana☺️☺️raraa reree na Leejay49 hawa nadhani wanaendana pia.