Robert Heriel na Donatila hawa members mnaonaje wakawa couple bora?

Robert Heriel na Donatila hawa members mnaonaje wakawa couple bora?

...na wewe unamchukuliaje @Joannah?🤣 usichelewe
We mzee unazeeka vibaya,unapoteza sana kumbukumbu,mara ukiamka unanitaka wewe mwenyewe mara ukiamka unanigawa Kwa wengine,naomba uzingatiwe matumizi ya samaki Kwa wingi kwenye Kila mlo wako Ili kuongeza Omega-3😁😁😁
 
Back
Top Bottom