Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mPalestina yupo hapo Kariakoo ana hizo sifa shida lazima ubadili dini, ni mzuri balaa..Naweka wazi kabisa wanawake naowapenda nakunivutia ni wanene na makalio makubwa.
Arifu home boy utamuweza huyu mtoto wa kimakonde toka ntwara 😅😅😅 huyu hapa chini Leejay49 👇👇👇We ni kuwadi? Kipikipiki posta?
Chalii ya chuga iyo hapo juu👆👆👆.....😅😅😅Ngoja nikusaidie Kuwaita Donatila Robert Heriel Mtibeli
Kama FaizaFoxy 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃 au ye mwenye mikucha ya bandia na kiwigi kama cha mwehu?!Naweka wazi kabisa wanawake naowapenda nakunivutia ni wanene na makalio makubwa.
. ataweza ndoa za Mitala huyo Mlokole DonatilaNgoja nikusaidie Kuwaita Donatila Robert Heriel Mtibeli
Huyo apewe cocastic au BICHWA KOMWE - ila kuhusu Donatila Kusema aolewe na huyo tapeli mtunzi wa hadithi za uongo unamuonea Dada yetu. Dada yetu ni mstaarabu sana na hatakiwi wala hatakubali kuolewa use wenza kwani huyo Robert Heriel Mtibeli ana mke Binti yetu kimoso japo kama mwazee wa ukoo wa Kimoso tunamwambia afunge ndoa na binti yetu anatupiga chenga. 😀😃😄😁😆😅Itakuwa jambo la busara Maghayo The Mongo Barbarian akatafutiwa na yeye Couple apumzike matumizi ya bange..
Huyo apewe cocastic au BICHWA KOMWE - ila kuhusu Donatila Kusema aolewe na huyo tapeli mtunzi wa hadithi za uongo unamuonea Dada yetu. Dada yetu ni mstaarabu sana na hatakiwi wala hatakubali kuolewa use wenza kwani huyo Robert Heriel Mtibeli ana mke Binti yetu kimoso japo kama mwazee wa ukoo wa Kimoso tunamwambia afunge ndoa na binti yetu anatupiga chenga. 😀😃😄😁😆😅
😀😀, ipo mkuu, Ngoja niiangalie...Ipi hiyo.. em nenda unitag nione😃
Kumbe BICHWA KOMWE - ni pisi Kali ? nilidhani dume , basi combination yake na Maghayo itanoga sana..Huyo apewe cocastic au BICHWA KOMWE - ila kuhusu Donatila Kusema aolewe na huyo tapeli mtunzi wa hadithi za uongo unamuonea Dada yetu. Dada yetu ni mstaarabu sana na hatakiwi wala hatakubali kuolewa use wenza kwani huyo Robert Heriel Mtibeli ana mke Binti yetu kimoso japo kama mwazee wa ukoo wa Kimoso tunamwambia afunge ndoa na binti yetu anatupiga chenga. 😀😃😄😁😆😅
Hapana, huyo sijui robati anaendana na dada maua.Ngoja nikusaidie Kuwaita Donatila Robert Heriel Mtibeli