Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Glory after GloryTaarifa zinaonyesha kwamba Golikipa wa zamani wa Timu ya Taifa ya DRC na TP Mazembe Robert Kidiaba amechaguliwa kuwa mbunge nchini humo katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni .
View attachment 990986
Taarifa zaidi zitakuja punde
πππKindoki wetu vepeeee????
Boban atafaaItabidii na sisi 2020 tujaribu kuchagua wabunge wanamichezo watakaojitosa maana wasanii tuliowachagua wametosha.
Na ni kocha msaidizi mazembe na ni mbunge na wakiwa na zahera huko kongo wako serious hatari na yule kocha wa vital ndio maana yanga inafanya vizuri maana zahera pia anavuta vitu kutoka huko kongo (uzoefu)Jamaa umaarufu umempa ubunge,pia nikocha wa makipa wa national team, wapo na Zahera
Sawa bwana Akili MaliNa ni kocha msaidizi mazembe na ni mbunge na wakiwa na zahera huko kongo wako serious hatari na yule kocha wa vital ndio maana yanga inafanya vizuri maana zahera pia anavuta vitu kutoka huko kongo (uzoefu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana kwake
Nipo, na ni mzima kabisa. Thank you.Dada Victoire mzima? Umepotea sana
Ni makalio Kuna watoto humu