B bagamoyo JF-Expert Member Joined Jan 14, 2010 Posts 24,941 Reaction score 28,869 Sep 15, 2020 #1 14 September 2020 Iringa Mjini MGOMBEA UBUNGE IRINGA MJINI ROBERT KISININI "AFUMANIWA" AKIFANYA HAYA Mwaka 2020 huu yupo NCCR-MAGEUZI akitumaini kuchaguliwa kuwa mbunge HISTORIA MWAKA 2015 aligombea Uspika Mgombea Uspika DP Mhe. Robert Kisinini aahidi kurudisha imani ya kweli kwa wananchi Juu ya mwenendo wa Bunge zima.
14 September 2020 Iringa Mjini MGOMBEA UBUNGE IRINGA MJINI ROBERT KISININI "AFUMANIWA" AKIFANYA HAYA Mwaka 2020 huu yupo NCCR-MAGEUZI akitumaini kuchaguliwa kuwa mbunge HISTORIA MWAKA 2015 aligombea Uspika Mgombea Uspika DP Mhe. Robert Kisinini aahidi kurudisha imani ya kweli kwa wananchi Juu ya mwenendo wa Bunge zima.
M Mkumbwa Jr JF-Expert Member Joined Mar 23, 2016 Posts 2,668 Reaction score 3,751 Sep 15, 2020 #2 Unafungwa kisha unaombwa kura,hapo kazi ipo
B bagamoyo JF-Expert Member Joined Jan 14, 2010 Posts 24,941 Reaction score 28,869 Sep 15, 2020 Thread starter #3 Inatakiwa wagombea wa CCM Mpya wawe relaxed hivi katika mchezo huu wa kisiasa usiohotaji hasira. Sasa sana mwanasiasa mwenzetu kijana kwa kujiamini, somo tosha kwa wale kina Kheri James mwenyekiti wa UVCCM.
Inatakiwa wagombea wa CCM Mpya wawe relaxed hivi katika mchezo huu wa kisiasa usiohotaji hasira. Sasa sana mwanasiasa mwenzetu kijana kwa kujiamini, somo tosha kwa wale kina Kheri James mwenyekiti wa UVCCM.