Robert Kiyosaki amenibadili leo, Nakuwa bilionea

Ndo maana Trump ni bilionea sababu kawekeza kichwani sio Kwa waganga wa kienyeji
Trump baba yake alikuwa billionea wa kutupwa

Trump sr akampa dollar million10+ Donald tena hyo ni 1970s

Kawekeza kutokana na mzee wake

Ni kama manji vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…