Robert Kiyosaki amenibadili leo, Nakuwa bilionea

Robert Kiyosaki amenibadili leo, Nakuwa bilionea

Knowledge will not influence money untill is intelligent direct toward the accumulation of money......
 
Robert kiyosaki na Donald Trump ni pacha hawa watu wameandika vitabu na maandiko mengi nimepata kuyasoma.
 
Nmesoma rich dad poor dad na cashflow quadrant. Huyu jamaa hataree. Shida ni kwenye kupata mtaji Wa mwanzo ili kuapply knowledge kuwa billionea. Anafundisha kuajiri na Sio kujiajiri au kuajiriwa. Kumbe kujiajiri Sio utajiri. Kuwafanya watu na pesa wakufanyie kazi ndio utajiri. Aiseee kumbe kuwa daktari, engineer, pilot, mchezaji Sio kitu.
Yaani hadi hapa tayari unaonesha ni mzee wa ndoto za mchana......na hapana shaka ushafeli kabla hata ya kuanza......na mwishowe ni kuwa umefeli period......so utabaki kuwa bilionea katika ndoto zako kudadadeki
 
Tafuta thread moja yenye kichwa kama "kitabu kilichobadirisha maisha yako" kama sijakosea. Utakipata pamoja na vingine vingi vizuri. Ningekuwekea kama ningekuwa nacho kwenye simu. Unaweza kugoogle pia.
Ahsante mkuu
 
Nmesoma rich dad poor dad na cashflow quadrant. Huyu jamaa hataree. Shida ni kwenye kupata mtaji Wa mwanzo ili kuapply knowledge kuwa billionea. Anafundisha kuajiri na Sio kujiajiri au kuajiriwa. Kumbe kujiajiri Sio utajiri. Kuwafanya watu na pesa wakufanyie kazi ndio utajiri. Aiseee kumbe kuwa daktari, engineer, pilot, mchezaji Sio kitu.
Vizuri kama umesoma leo... ila umechelewa kidogo mwenzio nilikisoma 2012.. bonge ya kitabu ilee
 
Mkuu umenikumbusha mbali.Who controls the past, controls the future,Who controls the present, controls the past.Does not matter how much money you make, but how much you keep.
 
Nampata sana Kayosaki kwa elimu take nzur aliyotoa kwenye business & uwekezaji,, coz yupo excellent ila ili kutoka inabd tuwe na mtaji na tuiapply hyo knowledge yake!
 
Back
Top Bottom