Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli...kila tajiri ana hela zake,98% ya matajiri wote duniani ni urithi,2% ni cretivity (Kipaji) kama wagunduzi wa fb n.k!
NiceKnowledge will not influence money untill is intelligent direct toward the accumulation of money......
Ulisoma kama unataka kujibia mtihani mkuu?sawa mkuu, mimi nilikuwa mtu wa mwanzo kabisa kusoma hayo makitu lakini bado sijatajilika
Yaani hadi hapa tayari unaonesha ni mzee wa ndoto za mchana......na hapana shaka ushafeli kabla hata ya kuanza......na mwishowe ni kuwa umefeli period......so utabaki kuwa bilionea katika ndoto zako kudadadekiNmesoma rich dad poor dad na cashflow quadrant. Huyu jamaa hataree. Shida ni kwenye kupata mtaji Wa mwanzo ili kuapply knowledge kuwa billionea. Anafundisha kuajiri na Sio kujiajiri au kuajiriwa. Kumbe kujiajiri Sio utajiri. Kuwafanya watu na pesa wakufanyie kazi ndio utajiri. Aiseee kumbe kuwa daktari, engineer, pilot, mchezaji Sio kitu.
mkuu nilipomaliza kusoma nilijihisi bilionea lakin sasa ivi hata hela ya kashata sometimes nakosaUlisoma kama unataka kujibia mtihani mkuu?
Hahaha wacha wee mkuu... unafata idea zake kabisa?mkuu nilipomaliza kusoma nilijihisi bilionea lakin sasa ivi hata hela ya kashata sometimes nakosa
huo urithi ulidondoshwa kutoka mbinguni?98% ya matajiri wote duniani ni urithi,2% ni cretivity (Kipaji) kama wagunduzi wa fb n.k!
Ahsante mkuuTafuta thread moja yenye kichwa kama "kitabu kilichobadirisha maisha yako" kama sijakosea. Utakipata pamoja na vingine vingi vizuri. Ningekuwekea kama ningekuwa nacho kwenye simu. Unaweza kugoogle pia.
Hahahahahahahaaaaamkuu nilipomaliza kusoma nilijihisi bilionea lakin sasa ivi hata hela ya kashata sometimes nakosa
Vizuri kama umesoma leo... ila umechelewa kidogo mwenzio nilikisoma 2012.. bonge ya kitabu ileeNmesoma rich dad poor dad na cashflow quadrant. Huyu jamaa hataree. Shida ni kwenye kupata mtaji Wa mwanzo ili kuapply knowledge kuwa billionea. Anafundisha kuajiri na Sio kujiajiri au kuajiriwa. Kumbe kujiajiri Sio utajiri. Kuwafanya watu na pesa wakufanyie kazi ndio utajiri. Aiseee kumbe kuwa daktari, engineer, pilot, mchezaji Sio kitu.
Na wanaowarithisha wao chanzo cha utajiri wao ulikuwa nini etc ,etc the chain can continue98% ya matajiri wote duniani ni urithi,2% ni cretivity (Kipaji) kama wagunduzi wa fb n.k!
Huo urithi waliutoa wapi?98% ya matajiri wote duniani ni urithi,2% ni cretivity (Kipaji) kama wagunduzi wa fb n.k!
Si kweli ni kinyume chake asilimia kubwa wameanzia zero98% ya matajiri wote duniani ni urithi,2% ni cretivity (Kipaji) kama wagunduzi wa fb n.k!
Acha uongo mkuuApplication zake zina apply ulaya huko....kwa afrika hakuna kitu
Nice