Daaah wazee Hivi kuna subtitles za kiswahili kwenye muvi za wenzetu mwenye uelewa wahili tafadhali
Nimeona hiyo clip toka kwa season pendwa ya PRISON BREAK ukiwa Na subtitle ya kiswahili ndiomana nikaulizaHazipo
Nimeona hiyo clip toka kwa season pendwa ya PRISON BREAK ukiwa Na subtitle ya kiswahili ndiomana nikauliza
Kalikuwa kaitwa twinaAah nimerudi kuangalia upya kumbe zipo. Hako kajamaa kanakotoa ushauri hadi huruma kwa kaliyokutana nayo humu gerezani
Scofield alikuwa hamkubali Tbag wala nini ila tu wakati wa vurugu gerezani kwenye season ya kwanza alikuwa anampiga yule afande mbaya wake akajikuta anaingia kwenye chumba cha Scofield akagundua Scofield anachimba shimo la kutorokea,akataka kupiga kelele "they're digging the hole" alivyoona hajasikika akataka kupiga tena kelele ndio John Abruzzi akamuwahi kumfunga mdomo na kumwabia asiseme na yeye atakuwepo kwenye part ya escaping team ila hawakumkubali wala nini kutokana na mitabia yake mibaya!
T-Bag kuna mda ni chizi, alitaka kupiga kelele kuna shimo ππScofield alikuwa hamkubali Tbag wala nini ila tu wakati wa vurugu gerezani kwenye season ya kwanza alikuwa anampiga yule afande mbaya wake akajikuta anaingia kwenye chumba cha Scofield akagundua Scofield anachimba shimo la kutorokea,akataka kupiga kelele "they're digging the hole" alivyoona hajasikika akataka kupiga tena kelele ndio John Abruzzi akamuwahi kumfunga mdomo na kumwabia asiseme na yeye atakuwepo kwenye part ya escaping team ila hawakumkubali wala nini kutokana na mitabia yake mibaya!
Scofield na roomate wake sucre walikuwa kama wanachimba shimo hivi nyuma ya sink la kunawia linaloelekea moja kwa moja kwenye njia ya awali ya kutorokea mpango huu alikuwa anaujua yeye Scofield,Sucre,kaka yake Scofield(Dominic pursel)na John Abruzzi..Nani alikuwa anachimba shimo?
Scholfield, rafiki yake wa chumba kimoja Sucre alikuwa anamsaidia baadhi ya vitu hasa uangalizi.Nani alikuwa anachimba shimo?
Tbag pamoja na ubabe wake alikuwa anamuogopa sana Abruzzi mpaka pale alivyomvizia akamkata na kiwembe kwenye shingo..T-Bag kuna mda ni chizi, alitaka kupiga kelele kuna shimo ππ
John Abruzzi akamtuliza shhhh!!! funga domo hilo, hilo shimo ni tiketi ya uhuru.
View attachment 2518769
Uzuri ni kwamba Abruzzi alistahili kukatwa na wembe maana nae alituma muhuni kumkidnap ndugu yake T-bag kwa siku tatu lakini matokeo yake wakati aanataka kumkidnap kumbe ndugu yake tbag ana bunduki, alietumwa kufanya kazi alipoona hali si hali akamuua ndugu yake T0bag na mtoto wake. Haikuwa kama ilivyotarajiwa na hii ilimuuma sana Abruzzi ambae ni mafia lakini sheria zao watoto huwa hawauliwi, nae T-bag aliumia sana kumpoteza ndugu yakeTbag pamoja na ubabe wake alikuwa anamuogopa sana Abruzzi mpaka pale alivyomvizia akamkata na kiwembe kwenye shingo..
Lakini baadae na yeye cha moto akakiona Abruzzi akamkata mkono kabisa..Hii movie bila Tbag ingepoa sana aisee
Scofield na roomate wake sucre walikuwa kama wanachimba shimo hivi nyuma ya sink la kunawia linaloelekea moja kwa moja kwenye njia ya awali ya kutorokea mpango huu alikuwa anaujua yeye Scofield,Sucre,kaka yake Scofield(Dominic pursel)na John Abruzzi..
Sasa katika purukushan za vurugu gerezani Tbag wakati anampiga huyo afande akajikuta anamdondoshea kwenye hili sink ambalo nyuma yake kulikuwa na shimo la siri(ukuta umetobolewa wa kutorokea ndio) Tbag akataka kupiga kelele wakamnyamazisha wakamwambia ukitunza hii siri utakuwa part of escaping team ndio akakubali
Dah kwa hilo swali tafuta tu hiyo series walau season 1 uiangalie [emoji16]Nani alikuwa anachimba shimo?