Robert Knepper: Muigizaji aliyepata umaarufu mbaya kwa kucheza kama T-Bag, hadi leo watu wengi hudhani ana roho mbaya

Aah nimerudi kuangalia upya kumbe zipo. Hako kajamaa kanakotoa ushauri hadi huruma kwa kaliyokutana nayo humu gerezani
Kalikuwa kaitwa twina

T-bag alianza kukachimba biti usiku anakaimbia

0hhh twinaaaaaa
 
Scofield alikuwa hamkubali Tbag wala nini ila tu wakati wa vurugu gerezani kwenye season ya kwanza alikuwa anampiga yule afande mbaya wake akajikuta anaingia kwenye chumba cha Scofield akagundua Scofield anachimba shimo la kutorokea,akataka kupiga kelele "they're digging the hole" alivyoona hajasikika akataka kupiga tena kelele ndio John Abruzzi akamuwahi kumfunga mdomo na kumwabia asiseme na yeye atakuwepo kwenye part ya escaping team ila hawakumkubali wala nini kutokana na mitabia yake mibaya!
 
Nani alikuwa anachimba shimo?
 
T-Bag kuna mda ni chizi, alitaka kupiga kelele kuna shimo 🙂🙂

John Abruzzi akamtuliza shhhh!!! funga domo! hilo shimo ni tiketi ya uhuru.

1676495245932.png
 
Nani alikuwa anachimba shimo?
Scofield na roomate wake sucre walikuwa kama wanachimba shimo hivi nyuma ya sink la kunawia linaloelekea moja kwa moja kwenye njia ya awali ya kutorokea mpango huu alikuwa anaujua yeye Scofield,Sucre,kaka yake Scofield(Dominic pursel)na John Abruzzi..

Sasa katika purukushan za vurugu gerezani Tbag wakati anampiga huyo afande akajikuta anamdondoshea kwenye hili sink ambalo nyuma yake kulikuwa na shimo la siri(ukuta umetobolewa wa kutorokea ndio) Tbag akataka kupiga kelele wakamnyamazisha wakamwambia ukitunza hii siri utakuwa part of escaping team ndio akakubali
 
Nani alikuwa anachimba shimo?
Scholfield, rafiki yake wa chumba kimoja Sucre alikuwa anamsaidia baadhi ya vitu hasa uangalizi.

Hata Sucre nae alikuwa hamkubali T-bag, hapa bila Sucre kuwa mstaarabu angemchapa makofi T-bag.

1676495816476.png
 
T-Bag kuna mda ni chizi, alitaka kupiga kelele kuna shimo 🙂🙂

John Abruzzi akamtuliza shhhh!!! funga domo hilo, hilo shimo ni tiketi ya uhuru.

View attachment 2518769
Tbag pamoja na ubabe wake alikuwa anamuogopa sana Abruzzi mpaka pale alivyomvizia akamkata na kiwembe kwenye shingo..

Lakini baadae na yeye cha moto akakiona Abruzzi akamkata mkono kabisa..Hii movie bila Tbag ingepoa sana aisee
 
Uzuri ni kwamba Abruzzi alistahili kukatwa na wembe maana nae alituma muhuni kumkidnap ndugu yake T-bag kwa siku tatu lakini matokeo yake wakati aanataka kumkidnap kumbe ndugu yake tbag ana bunduki, alietumwa kufanya kazi alipoona hali si hali akamuua ndugu yake T0bag na mtoto wake. Haikuwa kama ilivyotarajiwa na hii ilimuuma sana Abruzzi ambae ni mafia lakini sheria zao watoto huwa hawauliwi, nae T-bag aliumia sana kumpoteza ndugu yake

Abruzzi alivyopona ikawa kama T-bag kashalipa kisasi na ubao umerudi kuwa bila bila, hakuna anaemdai mwenzake, Ligi ikaanza upya fresh.
 
Scofield na roomate wake sucre walikuwa kama wanachimba shimo hivi nyuma ya sink la kunawia linaloelekea moja kwa moja kwenye njia ya awali ya kutorokea mpango huu alikuwa anaujua yeye Scofield,Sucre,kaka yake Scofield(Dominic pursel)na John Abruzzi..

Sasa katika purukushan za vurugu gerezani Tbag wakati anampiga huyo afande akajikuta anamdondoshea kwenye hili sink ambalo nyuma yake kulikuwa na shimo la siri(ukuta umetobolewa wa kutorokea ndio) Tbag akataka kupiga kelele wakamnyamazisha wakamwambia ukitunza hii siri utakuwa part of escaping team ndio akakubali

Ahaaa nimekupata
Hawa watu wanajua kuigiza acha kabisa sijui walisomea wapi wanaigiza uhalisia kabisa
 
Back
Top Bottom