Profesa wa Maliasili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 632
- 1,910
Scofield ana degree ya kuingiza na masters ya literature,Wana vyuo vya uigizaji,hapo Mara moja moja vina udwanzi,maana nasikia Denzel Washington alifeli chuo Cha uigizajiAhaaa nimekupata
Hawa watu wanajua kuigiza acha kabisa sijui walisomea wapi wanaigiza uhalisia kabisa
Scofield ana degree ya kuingiza na masters ya literature,Wana vyuo vya uigizaji,hapo Mara moja moja vina udwanzi,maana nasikia Denzel Washington alifeli chuo Cha uigizaji
Yaan bila kupindisha😊😊😊🤣🤣🤣Hazipo
Bongomovie bado,na si bongomovie tu hata movie za ulaya hazizifikii za marekaniWanaigiza utafikiri kweli kabisa
Bongo movie wakasome jamani
Bongomovie bado,na si bongomovie tu hata movie za ulaya hazizifikii za marekani
Hapa ana hamu ya kijambio
Scofield alikuwa hamkubali Tbag wala nini ila tu wakati wa vurugu gerezani kwenye season ya kwanza alikuwa anampiga yule afande mbaya wake akajikuta anaingia kwenye chumba cha Scofield akagundua Scofield anachimba shimo la kutorokea,akataka kupiga kelele "they're digging the hole" alivyoona hajasikika akataka kupiga tena kelele ndio John Abruzzi akamuwahi kumfunga mdomo na kumwabia asiseme na yeye atakuwepo kwenye part ya escaping team ila hawakumkubali wala nini kutokana na mitabia yake mibaya!
Hivi alidhalilika vipi,nimesahau maana nimeangalia 2006 hukoIla mwishoni alizalilika vibaya! Nilikuwa namkubali sana mwamba t-bag kwanza ni vituko vyakufa mtu.....
Bongo muvi wanalazimisha tuangalie muvi zao, na wakati hawana jipya! Ubunifu 0! Teknolojia yao ya kuigizia ni ile ya mwaka 1947!Wanaigiza utafikiri kweli kabisa
Bongo movie wakasome jamani
Kuna namna unaweza zipataDaaah wazee Hivi kuna subtitles za kiswahili kwenye muvi za wenzetu mwenye uelewa wahili tafadhali