Kajifunze kiingereza kwa Ras Simba nitakulipia ada.Nataka bio series ikiwa Na subtitles za kibongo msaada Tafadhali
Denzel Washington ,hanatofauti na bill gateScofield ana degree ya kuingiza na masters ya literature,Wana vyuo vya uigizaji,hapo Mara moja moja vina udwanzi,maana nasikia Denzel Washington alifeli chuo Cha uigizaji
Bongo muvi wanalazimisha tuangalie muvi zao, na wakati hawana jipya! Ubunifu 0! Teknolojia yao ya kuigizia ni ile ya mwaka 1947!
Hivi awamu hii ya huyu mama wamepewa mikopo isiyo na riba, utashangaa wataitumia hiyo mikopo kufanyia mambo ya kipuuzi tu, badala ya kujiimarisha kwenye hiyo tasnia yao!
Kiufupi Bongo Muvi wanasikitisha na kutia huruma.
Daaah wazee Hivi kuna subtitles za kiswahili kwenye muvi za wenzetu mwenye uelewa wahili tafadhali
Zipo ela yako tu mkuu unafanyiwa kaziHazipo
Wote hao wanamkubali T bag, uzuri au ubaya wa t bag ni kuwa hana adui wa kudumu na hana rafiki wa kudumu yeye urafiki unakuja kwenye mchongo tuu na ukikaa vibaya anakutapeli mchongo wenyewe ikitiki
Bongomovie bado,na si bongomovie tu hata movie za ulaya hazizifikii za marekani
Director Paul Scheuring alikuwa serious na kazi yakeAhaaa nimekupata
Hawa watu wanajua kuigiza acha kabisa sijui walisomea wapi wanaigiza uhalisia kabisa
Hapana, walimfuata kumkimbiza sababu alikuwa amechukua ukurasa wenye ramani ya eneo hela za DB Cooper, Charles Wesmoland zilipokuwa zimezikwa, US Dollar 5M. Sasa walipofika Library ya manispaa ya Utah na kuomba kitabu chenye ramani za mji wakakuta ukurasa umechanwa na walipotoka nje ndio wakamwona T-Bag wakajua tayari amewawahi na hivyo lazima wambane awape ramani. Bwana T-Bag ili kujiwekea assurance, akaitafuna kabisa ramani kwa hiyo ikabidi wamsikilize yeye kwa kila kitu. Aliwaambia kwa kejeli kuwa "muda ulikuwa hautoshi kwa yeye kujichora tattoo ya ramani ya eneo hilo kama Michael alivyojichora kwa hiyo akaamua tu kuikariri kichwani" π πT bag kuonyesha hakuna anayemwamin
Walipotoroka wakiwa nje kila mtu njia yake kuna kipande kina Sucre(Sugar) wakiwa na michel na kaka yake wakakutana na T bag barabaran wakamkimbiza na kutaka kumpiga kawauliza kwa nn wakasema haaminiki amekaa kishari shar tu na wanahs anawafata
Wakati wenzao wanasomea uigizaji, Bongo movie wenyewe kila msanii anaehojiwa utamsikia anasema yeye alizaliwa na kipaji cha kuigiza.Wanaigiza utafikiri kweli kabisa
Bongo movie wakasome jamani
Abbruzi kakata mkono baada ya t- bag kujifunga pingu na scofield ili asitorokwe njiani...ile abbruzi kakata mkono anasema "your lucky sijakutwanga kichwani"Tbag pamoja na ubabe wake alikuwa anamuogopa sana Abruzzi mpaka pale alivyomvizia akamkata na kiwembe kwenye shingo..
Lakini baadae na yeye cha moto akakiona Abruzzi akamkata mkono kabisa..Hii movie bila Tbag ingepoa sana aisee
Mnonko Brad Bellick.. Captain wa magereza anaeishi kwa mama yakeπTuseme Tu ukweli Prison Break ni bonge Moja la series... Mimi Yule mkuu wa magereza Yule bonge yaan nikimuona tuu full kucheka ππ na livyokuwa anapenda kumuita Scofield , utasikia Scofieeeeeld πππ
Kama Trent Arnold vileππMnonko Brad Bellick.. Captain wa magereza anaeishi kwa mama yakeπ
Mnonko Brad Bellick.. Captain wa magereza anaeishi kwa mama yake[emoji3]