Robert Knepper: Muigizaji aliyepata umaarufu mbaya kwa kucheza kama T-Bag, hadi leo watu wengi hudhani ana roho mbaya

Robert Knepper: Muigizaji aliyepata umaarufu mbaya kwa kucheza kama T-Bag, hadi leo watu wengi hudhani ana roho mbaya

Scofield ana degree ya kuingiza na masters ya literature,Wana vyuo vya uigizaji,hapo Mara moja moja vina udwanzi,maana nasikia Denzel Washington alifeli chuo Cha uigizaji
Denzel Washington ,hanatofauti na bill gate
 
Bongo muvi wanalazimisha tuangalie muvi zao, na wakati hawana jipya! Ubunifu 0! Teknolojia yao ya kuigizia ni ile ya mwaka 1947!

Hivi awamu hii ya huyu mama wamepewa mikopo isiyo na riba, utashangaa wataitumia hiyo mikopo kufanyia mambo ya kipuuzi tu, badala ya kujiimarisha kwenye hiyo tasnia yao!

Kiufupi Bongo Muvi wanasikitisha na kutia huruma.

Watatumia mikopo kuongeza bajeti ya kuvaa pamba kali na locations za maana na kukodi magari ya kifahari [emoji23]
 
Daaah wazee Hivi kuna subtitles za kiswahili kwenye muvi za wenzetu mwenye uelewa wahili tafadhali
b2d107c39830328d7313e9ef0badda5e.png
 
Wote hao wanamkubali T bag, uzuri au ubaya wa t bag ni kuwa hana adui wa kudumu na hana rafiki wa kudumu yeye urafiki unakuja kwenye mchongo tuu na ukikaa vibaya anakutapeli mchongo wenyewe ikitiki

Alitaka au sijui alimfanya msosi yule jamaa mmoja walipokuwa na njaa
 
T bag kuonyesha hakuna anayemwamin

Walipotoroka wakiwa nje kila mtu njia yake kuna kipande kina Sucre(Sugar) wakiwa na michel na kaka yake wakakutana na T bag barabaran wakamkimbiza na kutaka kumpiga kawauliza kwa nn wakasema haaminiki amekaa kishari shar tu na wanahs anawafata
Hapana, walimfuata kumkimbiza sababu alikuwa amechukua ukurasa wenye ramani ya eneo hela za DB Cooper, Charles Wesmoland zilipokuwa zimezikwa, US Dollar 5M. Sasa walipofika Library ya manispaa ya Utah na kuomba kitabu chenye ramani za mji wakakuta ukurasa umechanwa na walipotoka nje ndio wakamwona T-Bag wakajua tayari amewawahi na hivyo lazima wambane awape ramani. Bwana T-Bag ili kujiwekea assurance, akaitafuna kabisa ramani kwa hiyo ikabidi wamsikilize yeye kwa kila kitu. Aliwaambia kwa kejeli kuwa "muda ulikuwa hautoshi kwa yeye kujichora tattoo ya ramani ya eneo hilo kama Michael alivyojichora kwa hiyo akaamua tu kuikariri kichwani" 😄 😄
 
Afadhari T.BAG master kuna mda alikuwa anafurahisha na vituko vyake

Kuna msenge mmoja kwenye GAME OF THRONE anaitwa RAMSEY BOLTON
Nadhani huyu kipindi kile kama nngemkuta barabarani ningeweza kumgonga na gari au hata nimsukune agongwe akafa ili asionekane tu kwenye EPISODE zingine kwa 7bu yoyote ile

Jamaa alimkata mbolo THEON GREYJOY bila huluma

Sijawahi kumchukia muigizaji kama nilivyomchukia huyu yaan huyu mpk kesho movie atakayokuwa ameigiza nikimkuta siangalii hiyo movie
Ramsay_Bolton-_-Iwan_Rheon.jpg

Yaan kwa huyu mwamba hata JOFFREY alikuwa afadhari
 
WarHunt-movie-film-action-horror-2022-poster-Saban-Films.jpg

images (97).jpeg


T-Bag Yumo pia kwenye movie hii inaitwa Warhunt imetoka mwaka Jana 2022 , na ni main character,.... Ukorofi wake ni hvyo hvyo , mwaka 1945 during WW2 , Ndege ya kivita ya kimarekani iliangushwa na wajeruman mstuni , mbali na kubeba Askari ilikuwa pia imebeba nyaraka za Siri ,

Hvyo walitumwa makomando kwenda crashing site kuhakikisha wanazichukua hzo nyaraka zisiangukie mikononi mwa adui , katika Kikosi kioichotumwa T-Bag alikuwa kamanda wao mkuu , hata hvyo mstu ulikuwa na mauza uza ya wachawi , katika Kikosi hcho kilichotumwa hakuna aliyesalimika hata mmoja ...
 
Tbag pamoja na ubabe wake alikuwa anamuogopa sana Abruzzi mpaka pale alivyomvizia akamkata na kiwembe kwenye shingo..

Lakini baadae na yeye cha moto akakiona Abruzzi akamkata mkono kabisa..Hii movie bila Tbag ingepoa sana aisee
Abbruzi kakata mkono baada ya t- bag kujifunga pingu na scofield ili asitorokwe njiani...ile abbruzi kakata mkono anasema "your lucky sijakutwanga kichwani"
 
Tuseme Tu ukweli Prison Break ni bonge Moja la series... Mimi Yule mkuu wa magereza Yule bonge yaan nikimuona tuu full kucheka 😁😁 na livyokuwa anapenda kumuita Scofield , utasikia Scofieeeeeld 😁😁😁
Mnonko Brad Bellick.. Captain wa magereza anaeishi kwa mama yake😀
 
Yani Tbag maisha yake yote ilikuwa ni gerezani tu akitoka anarudi mpaka season 5 mwishoni yule Jamaa aliyemuua Mtoto wake Tbag wakakutana naye tena kwenye gereza la Fox river.
 
Back
Top Bottom