Robert Knepper: Muigizaji aliyepata umaarufu mbaya kwa kucheza kama T-Bag, hadi leo watu wengi hudhani ana roho mbaya

T-Bag kuna mda ni chizi, alitaka kupiga kelele kuna shimo 🙂🙂

John Abruzzi akamtuliza shhhh!!! funga domo! hilo shimo ni tiketi ya uhuru.

View attachment 2518769
Halafu huyu mwamba ndio alikuja kumkata kiganja cha mkono. Maana alikuwa anamtamani kitambo sana si alimkataga na kisu akajua ameua kumbe jamaa alikuwa mahututi akarejea. Ndio kisasi chake baada ya kutoroka jela.
 
Yani Tbag maisha yake yote ilikuwa ni gerezani tu akitoka anarudi mpaka season 5 mwishoni yule Jamaa aliyemuua Mtoto wake Tbag wakakutana naye tena kwenye gereza la Fox river.

Season 5 hayupo gerezani yeye ndio anampa mchongo Lincolin kuwa mdogo wake michael hakufa kama walivokuwa wanatambua mwanzoni bali yupo mzima huko gereza la sona yemen,Na kuwekewa mkono bandia michael ndio kama alisimamia garama zote japo hapa code zilizotumika sikuzielewa
 
Yeye anaongelea mwisho wa season five, T-bag alirudishwa jela!
 
T Bag ni kichwa haswaaa its good series....to watch
 
Wakati wenzao wanasomea uigizaji, Bongo movie wenyewe kila msanii anaehojiwa utamsikia anasema yeye alizaliwa na kipaji cha kuigiza.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…