Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Halafu huyu mwamba ndio alikuja kumkata kiganja cha mkono. Maana alikuwa anamtamani kitambo sana si alimkataga na kisu akajua ameua kumbe jamaa alikuwa mahututi akarejea. Ndio kisasi chake baada ya kutoroka jela.T-Bag kuna mda ni chizi, alitaka kupiga kelele kuna shimo 🙂🙂
John Abruzzi akamtuliza shhhh!!! funga domo! hilo shimo ni tiketi ya uhuru.
View attachment 2518769