Robert Lewandowski au Luis Suarez; nani no.9 bora duniani?

Kwa msimu uliopita na huu unaoendelea,Pierre-Emerick Aubameyang hana mpinzani. Hao wakina Suarez na Lewandowisky wanazungumziwa sana kwasababu sio waafrika.
 
Kwa msimu uliopita na huu unaoendelea,Pierre-Emerick Aubameyang hana mpinzani. Hao wakina Suarez na Lewandowisky wanazungumziwa sana kwasababu sio waafrika.

Abumeyang is the best striker right now.

Mimi nilishindwa kushangaa baada ya Yaya Toure kuchukua tuzo ya mchezaji bora Africa na kumshinda Piere Emerick Aubemeyang. Huyu jamaa ni full strike. Kina Lewandosky na Muller wanamjua vilivyo. Anafunga, anaassist anapambana kwa ujumla yupo fit.
 
Kwa msimu uliopita na huu unaoendelea,Pierre-Emerick Aubameyang hana mpinzani. Hao wakina Suarez na Lewandowisky wanazungumziwa sana kwasababu sio waafrika.

Abumeyang is the best striker right now.

Mimi nilishindwa kuelewa ni nini Yaya Toure alichomzidi Aubemeyang mpaka apewa tuzo ya mchezaji bora Africa? Mimi nilimpa kura yangu Aubemeyang. Mi nadhani Toure alipata kwa kuwa tu anacheza epl. Ila Aubemeyang kwa sasa ni mmoja wa wachezaji wakali kabisa barani ulaya. Jamaa anafunga, jamaa anaassist, anapambana.
 
Huyoo Suarez mwambie ajibu zile goli tano..!! Kwanzaa then ndo nita comment mengine
 
\

Hapo ndio tunarudi kwenye suala la upendeleo, mwenyewe niliona kabisa hiyo tuzo ya Aubameyang kutokana na kuwa na misimu miwili mfululizo kuliko mchezaji yeyote afrika.
 
Timu ikiwa na watoaji pasi za mwisho wazuri kama ozil, fab, KDB au ADM namchukua lewa,

Ila kama timu ni ya kawaida sana namchukua Suarez, ana uwezo wa ku-assist, dribble na kufunga, lewa mi namchukulia kama ni goal poacher kama chicha, RvN au crespo sio mzuri kutoa pasi za mwisho wala kulinda
 
Lol, Luis Suarez hajui kudribble na kuchambua Mabeki..?

Au ulikuwa unamaanisha Jeffren Suarez????

Me nimeusoma uchambuzi wake huyo jamaa nikaona ngoja nikae kimya...possibly anamzungumzia Luis Suarez mwingine, siyo huyu ninayemjua mimi!
 

Nadhani sababu ni ligi pamoja na umaarufu wa Yaya aliokwisha jitengenezea,lakini Aubemeyang ni zinga striker hata tukienda statistically ana magoli mengi halafu pia yupo consistent sio kushinda goli nyingi mechi moja zingine hushindi.Halafu pia ligi ya ujerumani kwa sasa ina upinzani mgumu zaidi ya uingereza lakini kijana bado anang'ara.
 

Au Ruud van Nestrooy
 

Kwingine naungana naww, ila hapo kwenye ligi ya ujerumani ina upinzani mgumu kuliko EPL hapana, kacheki upya tena, bayani kuanzia msimu uliopita na huu ana mpinzani gani? ikitokea kapoteza game ni kimazabe tu. So ujerumani kwa ss ni ligi ya team 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…