ADAM SMITH
Member
- Apr 8, 2014
- 81
- 23
lous suareziiiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa msimu uliopita na huu unaoendelea,Pierre-Emerick Aubameyang hana mpinzani. Hao wakina Suarez na Lewandowisky wanazungumziwa sana kwasababu sio waafrika.
Abumeyang is the best striker right now.
Kwa msimu uliopita na huu unaoendelea,Pierre-Emerick Aubameyang hana mpinzani. Hao wakina Suarez na Lewandowisky wanazungumziwa sana kwasababu sio waafrika.
Abumeyang is the best striker right now.
\Mimi nilishindwa kuelewa ni nini Yaya Toure alichomzidi Aubemeyang mpaka apewa tuzo ya mchezaji bora Africa? Mimi nilimpa kura yangu Aubemeyang. Mi nadhani Toure alipata kwa kuwa tu anacheza epl. Ila Aubemeyang kwa sasa ni mmoja wa wachezaji wakali kabisa barani ulaya. Jamaa anafunga, jamaa anaassist, anapambana.
Lol, Luis Suarez hajui kudribble na kuchambua Mabeki..?
Au ulikuwa unamaanisha Jeffren Suarez????
Mimi nilishindwa kuelewa ni nini Yaya Toure alichomzidi Aubemeyang mpaka apewa tuzo ya mchezaji bora Africa? Mimi nilimpa kura yangu Aubemeyang. Mi nadhani Toure alipata kwa kuwa tu anacheza epl. Ila Aubemeyang kwa sasa ni mmoja wa wachezaji wakali kabisa barani ulaya. Jamaa anafunga, jamaa anaassist, anapambana.
Timu ikiwa na watoaji pasi za mwisho wazuri kama ozil, fab, KDB au ADM namchukua lewa,
Ila kama timu ni ya kawaida sana namchukua Suarez, ana uwezo wa ku-assist, dribble na kufunga, lewa mi namchukulia kama ni goal poacher kama chicha, RvN au crespo sio mzuri kutoa pasi za mwisho wala kulinda
Nadhani sababu ni ligi pamoja na umaarufu wa Yaya aliokwisha jitengenezea,lakini Aubemeyang ni zinga striker hata tukienda statistically ana magoli mengi halafu pia yupo consistent sio kushinda goli nyingi mechi moja zingine hushindi.Halafu pia ligi ya ujerumani kwa sasa ina upinzani mgumu zaidi ya uingereza lakini kijana bado anang'ara.