Robertinho aelewa kiwango cha kiungo huyu, auomba uongozi umjumuishe mara tu dirisha litakapofunguliwa.

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Baada ya kushiriki mazoezi na timu kwa miezi kadhaa ,Kocha mkuu wa Simba SC aomba kiungo fundi HASSAN DILUNGA aongezwe katka kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao wa NBC PL na mashindano mengine.

Kocha huyo anaamini kuwa kwa kiwango chake anaweza kumfaa kutimiza malengo yake kwa msimu ujao ukizingatia ni mchezaji wa ndani
 

Attachments

  • FB_IMG_1680509598019.jpg
    115.5 KB · Views: 1
Mara mwisho umemuona akicheza lini?..
 
Inabidi Simba waanze utaratibu wa kuwafanyia majaribio na vipimo vya afya wachezaji kabla ya kuwasajili. Timu nyingi kubwa Afrika na duniani kote zinafanya hivyo.

Pia wazingatie vimo vya wachezaji maana usajili wa hivi karibuni umehusisha wachezaji wengi wenye vimo vifupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…