Robertinho afunguka, usajili ulikuwa m,bovu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Aliyekuwa kocha wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amekosoa usajili uliofanywa na klabu hiyo katika dirisha lililopita akidai haukuwa na tija kutokana na idadi kubwa ya wachezaji kutokuwa na ubora wa kuingia moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza.

Mbrazil huyo amebainisha kuwa kati ya wachezaji 11 waliosajiliwa na timu hiyo katika dirisha lililopita, ni wawili tu ambao wameonekana kuweza kushindania nafasi katika kikosi cha kwanza ambao ni beki Che Fondoh Malone na kiungo Fabrice Ngoma.

"Hakuna njia ya mkato kwenye kutafuta mafanikio kupata timu Bora huwezi kuijenga kwa kutumia dirisha Moja la usajili, sikiliza kwenye usajili uliopita tuliwaleta wachezaji wengi lakini ni wawili tu wanaweza kuingia moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza.”

"Jambo zuri ambalo Simba itajivunia tulibakiza wachezaji ambao walikuwa msingi wa timu ambao walipounganika na wengine tukajaribu kuwa na timu yenye upinzani” alisema Robertinho.

Wachezaji 11 waliosajiliwa na Simba katika dirisha lililopita la usajili ni Ngoma, Malone, Hussein Kazi, Ayoub Lakred, Aubin Kramo, Luis Miquissone, Shaban Chilunda, Hussein Abel, David Kameta, Willy Onana na Hamisi Abdallah.

#KitengeSports
1699697919832.jpg
 
Mvurugano unaendelea Kweli dozi ya sindano 5 ilikuwa sio mchezo kila mtu atasema analolifahamu Mpaka Yule demu wa Cairo .
Hali inatisha huko[emoji23]
 
Aliyekuwa kocha wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amekosoa usajili uliofanywa na klabu hiyo katika dirisha lililopita akidai haukuwa na tija kutokana na idadi kubwa ya wachezaji kutokuwa na ubora wa kuingia moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza.

Mbrazil huyo amebainisha kuwa kati ya wachezaji 11 waliosajiliwa na timu hiyo katika dirisha lililopita, ni wawili tu ambao wameonekana kuweza kushindania nafasi katika kikosi cha kwanza ambao ni beki Che Fondoh Malone na kiungo Fabrice Ngoma.

"Hakuna njia ya mkato kwenye kutafuta mafanikio kupata timu Bora huwezi kuijenga kwa kutumia dirisha Moja la usajili, sikiliza kwenye usajili uliopita tuliwaleta wachezaji wengi lakini ni wawili tu wanaweza kuingia moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza.”

"Jambo zuri ambalo Simba itajivunia tulibakiza wachezaji ambao walikuwa msingi wa timu ambao walipounganika na wengine tukajaribu kuwa na timu yenye upinzani” alisema Robertinho.

Wachezaji 11 waliosajiliwa na Simba katika dirisha lililopita la usajili ni Ngoma, Malone, Hussein Kazi, Ayoub Lakred, Aubin Kramo, Luis Miquissone, Shaban Chilunda, Hussein Abel, David Kameta, Willy Onana na Hamisi Abdallah.

#KitengeSportsView attachment 2810449
HAHAAAA HAO MNAOLALAMIKIA MNGEWAWAH AIIRPORT MNACHEKA SAAHIZI
 
Hivi anaye husika na ununuzi wa wachezaji ni kocha au nani
 
Huyu kocha tulimwambia mapema akifukuzwa hatutaki sababu, msimu uliopita alikuwa na kipa Benno, Sakho, Phiri , Banda wote alikuwa anawasugulisha benchi.
 
Aliyekuwa kocha wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amekosoa usajili uliofanywa na klabu hiyo katika dirisha lililopita akidai haukuwa na tija kutokana na idadi kubwa ya wachezaji kutokuwa na ubora wa kuingia moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza.

Mbrazil huyo amebainisha kuwa kati ya wachezaji 11 waliosajiliwa na timu hiyo katika dirisha lililopita, ni wawili tu ambao wameonekana kuweza kushindania nafasi katika kikosi cha kwanza ambao ni beki Che Fondoh Malone na kiungo Fabrice Ngoma.

"Hakuna njia ya mkato kwenye kutafuta mafanikio kupata timu Bora huwezi kuijenga kwa kutumia dirisha Moja la usajili, sikiliza kwenye usajili uliopita tuliwaleta wachezaji wengi lakini ni wawili tu wanaweza kuingia moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza.”

"Jambo zuri ambalo Simba itajivunia tulibakiza wachezaji ambao walikuwa msingi wa timu ambao walipounganika na wengine tukajaribu kuwa na timu yenye upinzani” alisema Robertinho.

Wachezaji 11 waliosajiliwa na Simba katika dirisha lililopita la usajili ni Ngoma, Malone, Hussein Kazi, Ayoub Lakred, Aubin Kramo, Luis Miquissone, Shaban Chilunda, Hussein Abel, David Kameta, Willy Onana na Hamisi Abdallah.

#KitengeSportsView attachment 2810449
Tuliposema huyu siyo kocha ni msimamizi wa mazoezi tulitukanwa. Kocha anayejitambua hawezi kukosoa wengine Kwa usajili aliopendekeza yeye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom