Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo lazima tutegemee uchawi na propaganda, (fitina)Aliyekuwa kocha wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amekosoa usajili uliofanywa na klabu hiyo katika dirisha lililopita akidai haukuwa na tija kutokana na idadi kubwa ya wachezaji kutokuwa na ubora wa kuingia moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza.
Mbrazil huyo amebainisha kuwa kati ya wachezaji 11 waliosajiliwa na timu hiyo katika dirisha lililopita, ni wawili tu ambao wameonekana kuweza kushindania nafasi katika kikosi cha kwanza ambao ni beki Che Fondoh Malone na kiungo Fabrice Ngoma.
"Hakuna njia ya mkato kwenye kutafuta mafanikio kupata timu Bora huwezi kuijenga kwa kutumia dirisha Moja la usajili, sikiliza kwenye usajili uliopita tuliwaleta wachezaji wengi lakini ni wawili tu wanaweza kuingia moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza.”
"Jambo zuri ambalo Simba itajivunia tulibakiza wachezaji ambao walikuwa msingi wa timu ambao walipounganika na wengine tukajaribu kuwa na timu yenye upinzani” alisema Robertinho.
Wachezaji 11 waliosajiliwa na Simba katika dirisha lililopita la usajili ni Ngoma, Malone, Hussein Kazi, Ayoub Lakred, Aubin Kramo, Luis Miquissone, Shaban Chilunda, Hussein Abel, David Kameta, Willy Onana na Hamisi Abdallah.
#KitengeSportsView attachment 2810449
Huyo kocha mnafiki Sana, kocha Bora ni yule wa singidaAlitakiwa aondoke alipoona ameletewa wachezaji ambao hawatamfikisha popote pale
Wamshukuru sana karia na mzee mguto kuwalinda kwa kuisogeza mechi yao na lamba lambaKabisa Swahiba wanenepage tu sasa na bila hivyo mbona wangezioga goli nyingi toka kwa Azam. 😂
Kabisa yaani.Wamshukuru sana karia na mzee mguto kuwalinda kwa kuisogeza mechi yao na lamba lamba
Halafu kuna mbumbu mmoja anasema Aziz Ki Yanga tulipigwaHuo ndio ukweli..kwenye usajili tulichemka.
Kwani si amewafikisha Cafcl robo finalAlitakiwa aondoke alipoona ameletewa wachezaji ambao hawatamfikisha popote pale