Mi mwenyewe simba lakini namkataa hapa chamaKuwa serious basi Mkuu, Chama na Ki wapi na wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mwenyewe simba lakini namkataa hapa chamaKuwa serious basi Mkuu, Chama na Ki wapi na wapi?
Vipi sisi wanawake wenye waume makolo tunasemaje? Tumewaoa pia?View attachment 2815747
Tumewawowa dadadeki
Mwamba wa Ouagadougou Stephane Ki [emoji91]Huo ni ukweli, hakuna mchezaji mwenye kiwango kikubwa ktk timu yetu kumzidi Aziz Ki. Huyu jamaa ni kipaji halisi, mpira unamtii yeye anakotaka uende na kufika.
Ubao wa matokeo kiasi kikubwa anaamua yeye usomeke vipi!
Sikulia alipoondoka Mayele, ila Ki lazima chozi linitoke akituaga.
Mi shabiki yake mkubwa.
Umechaguwa pazuriHuo ni ukweli, hakuna mchezaji mwenye kiwango kikubwa ktk timu yetu kumzidi Aziz Ki. Huyu jamaa ni kipaji halisi, mpira unamtii yeye anakotaka uende na kufika.
Ubao wa matokeo kiasi kikubwa anaamua yeye usomeke vipi!
Sikulia alipoondoka Mayele, ila Ki lazima chozi linitoke akituaga.
Mi shabiki yake mkubwa.
Azizi Key ni mchezaji mzuri mno na ubora wake umeongezewa zaidi na Kipara Gamond.Huo ni ukweli, hakuna mchezaji mwenye kiwango kikubwa ktk timu yetu kumzidi Aziz Ki. Huyu jamaa ni kipaji halisi, mpira unamtii yeye anakotaka uende na kufika.
Ubao wa matokeo kiasi kikubwa anaamua yeye usomeke vipi!
Sikulia alipoondoka Mayele, ila Ki lazima chozi linitoke akituaga.
Mi shabiki yake mkubwa.
Ki ni mzuri siku zote sema pale mwishoni kuna mechi moja aliteleza Nabi nae akafanya makosa kumnyima nafasi kwenye mechi nyingine ndipo akaharibikiwa zaidi!Azizi Key ni mchezaji mzuri mno na ubora wake umeongezewa zaidi na Kipara Gamond.
Huyu jamaa ndo alisababisha nivue jezi yangu ya simba kabla sijaenda kibanda umiza maana nilijua lazima atatuadhibu siku ile.
Yuko vizuri ila afanye kazi yake aachane na tabia inayoanza kuchipukia ya kucheza na jukwaa atapigwa misumari.Ki ni mzuri siku zote sema pale mwishoni kuna mechi moja aliteleza Nabi nae akafanya makosa kumnyima nafasi kwenye mechi nyingine ndipo akaharibikiwa zaidi!
Nakumbuka hata wakati Nabi kaondoka Ki hakumuaga wala kusema lolote kwenye hilo tofauti na wenzie.
Hapo ndipo nilijua kulikuwa na shida baina yao.
Ujio wa Gamondi nilikuwa na uhakika Ki atafanya vizuri endapo angepewa nafasi, na imekuwa hivyo.
Kama shabiki yake nina furaha kubwa kuona karudi ktk form yake.
Nyie wachawi sisi tupo juu sasa 7 na 20 wapi nawapi ndio maana tunapuuzia michezo ya ndaniKisa alimkanda kolo five....[emoji1][emoji1]hakuna uchawi mkuu....sajili quality players.....then enjoy football
MwasibuKihasibu yule ni hasara. Kihasibu lakini tusielewane vibaya.
Ila ukweli ni kwamba huyu mchezaji binafsi namfatilia hatma ya mkataba wake hapo kwa wanavyura, kama watamzembea itakuwa adv sana hata kama hatabaki kwenye timu za ndani kama mada inavyosema.
Ni mchezaji hatari sana kwa timu pinzani. Nikikumbuka ile mechi na Azam alivyobadili matokeo ambayo ilikuwa Yanga idondoshe point mbili muhimu ambazo zingekuwa na msaada kwa Simba naona kabisa huyu mchezaji alivyo na madhara.
Yanga sio timu ni mazombie na wachawi basi kama huamini fuatilia maisha yao hayana formular
Wapi mmekrem viwanja vya kwenu tz na mahirizi yako[emoji23][emoji23] tabu ya 5G itaendelea
Tulikuwa tunaota motoView attachment 2816606
Haya dada kwa hiyo hapa mlikuwa mnaota moja au mnajifukiza au mnavuta shisha kwa pamoja.
Na kweli South kuna baridi naona CAF wakawaonea wivu mpaka wakawatoza faini ya dola 5000.Tulikuwa tunaota moto