Robertinho alipendekeza Aziz Ki ang'olewe Yanga

Mwamba wa Ouagadougou Stephane Ki [emoji91]
 
Umechaguwa pazuri
 
Azizi Key ni mchezaji mzuri mno na ubora wake umeongezewa zaidi na Kipara Gamond.
Huyu jamaa ndo alisababisha nivue jezi yangu ya simba kabla sijaenda kibanda umiza maana nilijua lazima atatuadhibu siku ile.
 
Azizi Key ni mchezaji mzuri mno na ubora wake umeongezewa zaidi na Kipara Gamond.
Huyu jamaa ndo alisababisha nivue jezi yangu ya simba kabla sijaenda kibanda umiza maana nilijua lazima atatuadhibu siku ile.
Ki ni mzuri siku zote sema pale mwishoni kuna mechi moja aliteleza Nabi nae akafanya makosa kumnyima nafasi kwenye mechi nyingine ndipo akaharibikiwa zaidi!

Nakumbuka hata wakati Nabi kaondoka Ki hakumuaga wala kusema lolote kwenye hilo tofauti na wenzie.
Hapo ndipo nilijua kulikuwa na shida baina yao.

Ujio wa Gamondi nilikuwa na uhakika Ki atafanya vizuri endapo angepewa nafasi, na imekuwa hivyo.
Kama shabiki yake nina furaha kubwa kuona karudi ktk form yake.
 
Yuko vizuri ila afanye kazi yake aachane na tabia inayoanza kuchipukia ya kucheza na jukwaa atapigwa misumari.
 
Yanga sio timu ni mazombie na wachawi basi kama huamini fuatilia maisha yao hayana formular
 
Kihasibu yule ni hasara. Kihasibu lakini tusielewane vibaya.

Ila ukweli ni kwamba huyu mchezaji binafsi namfatilia hatma ya mkataba wake hapo kwa wanavyura, kama watamzembea itakuwa adv sana hata kama hatabaki kwenye timu za ndani kama mada inavyosema.

Ni mchezaji hatari sana kwa timu pinzani. Nikikumbuka ile mechi na Azam alivyobadili matokeo ambayo ilikuwa Yanga idondoshe point mbili muhimu ambazo zingekuwa na msaada kwa Simba naona kabisa huyu mchezaji alivyo na madhara.
 
Mwasibu

Okwi boban anasemaje [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…