Mmekafiniwa mnaanza kushobokea wanaume wengine.Wydad akifungwa sijui mtasema nini kwani sio mara ya kwanza.Wydad Casablanca wanakuja msije kuanza kumtukana tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmekafiniwa mnaanza kushobokea wanaume wengine.Wydad akifungwa sijui mtasema nini kwani sio mara ya kwanza.Wydad Casablanca wanakuja msije kuanza kumtukana tu.
Obujekitivu futiboliAlionekana kutokueleweka na ikapelekea mashabiki kuutaka uongozi umfungashie virago.
Tofauti na matarajio ya wengi kocha Robertinho amefanikiwa kuibadiri Simba SC kutoka kucheza possessive football na kucheza tactical & direct football.
Hii imeifanya Simba SC kuwa hatari sana katika eneo la mbele.
Ongezea
Unakimbia matapishi yako sioSina Cha kumtetea kwa kilichotokea juzi