Robertinho amefanikiwa kuibadiri simba

Robertinho amefanikiwa kuibadiri simba

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
Alionekana kutokueleweka na ikapelekea mashabiki kuutaka uongozi umfungashie virago.

Tofauti na matarajio ya wengi kocha Robertinho amefanikiwa kuibadiri Simba SC kutoka kucheza possessive football na kucheza tactical & direct football.

Hii imeifanya Simba SC kuwa hatari sana katika eneo la mbele.

Ongezea
 
Kwasababu ya ushindi wa Leo mrembo wangu?
 
Back
Top Bottom