Robertinho asema “Tangu nimefika sipajata nafasi nzuri ya kuiandaa Simba, kila wakati ni mechi mechi tu, nipeni muda

Robertinho asema “Tangu nimefika sipajata nafasi nzuri ya kuiandaa Simba, kila wakati ni mechi mechi tu, nipeni muda

Unamleta Akpan na Okwa hata Ihefu wamekosa namba! Tena Pro? Nani kawajibishwa kwa hili? Alafu utasikia vichaa huko kelele kwa kocha!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Raja ndio mabingwa wa Afrika, sioni sababu ya kulalamika sana, muhimu tukacheze na wale walio na uwezo wa kawaida tupate matokeo, robo fainali bado inawezekana kabisa.
Hilo hamkuliona kabla ya mechi? Mlipo kuwa mkitumia kauli yenu "KWA MKAPA HATOKI MTU!!!tTatizo la sisi watz kuambizana ukweli hatuwezi,ukisema ukweli unaonekana eti sio mzalendo!!leo ukiwasikiliza WACHAMBUZI WA MCHONGO"unashangaa kweli mbona sasa wamebadirika na kusema ukweli kuwa raja na simba ki uwezo ni vitu viwili tofauti??lakini kabla ya mechi walikuwa wakisema tofauti kwa kuwajaza upepo wanasimba!!hata leo yanga ni wale wale tu hana uwezo wa kumfunga tp mazembe.
 
Raja ndio mabingwa wa Afrika, sioni sababu ya kulalamika sana, muhimu tukacheze na wale walio na uwezo wa kawaida tupate matokeo, robo fainali bado inawezekana kabisa.
Wale ni wydad Casablanca, hawa ni raja Casablanca kuna tofauti hapo, hawa si mabingwa ni weupe kama simba tu, wakikutana na yanga wanaeza fungwa pia 😂😂🤣🤣🤣
 
Mechi ya Al hilal ilikuwa ya kupanga full mkoko,tuwapime wachezaji wetu kimbinu kuelekea mechi za Kimataifa.Badala yake tukaweka wachezaji wa kawaida.
Kumbuka ulicheza ijumaa ligi kuu afu ikabidi ucheze jumapili na hao Al hilal husingeweza kutumia kikosi cha kwanza kwny hiyo mechi ya kirafiki
 
Back
Top Bottom