Raja ndio mabingwa wa Afrika, sioni sababu ya kulalamika sana, muhimu tukacheze na wale walio na uwezo wa kawaida tupate matokeo, robo fainali bado inawezekana kabisa.
Hilo hamkuliona kabla ya mechi? Mlipo kuwa mkitumia kauli yenu "KWA MKAPA HATOKI MTU!!!tTatizo la sisi watz kuambizana ukweli hatuwezi,ukisema ukweli unaonekana eti sio mzalendo!!leo ukiwasikiliza WACHAMBUZI WA MCHONGO"unashangaa kweli mbona sasa wamebadirika na kusema ukweli kuwa raja na simba ki uwezo ni vitu viwili tofauti??lakini kabla ya mechi walikuwa wakisema tofauti kwa kuwajaza upepo wanasimba!!hata leo yanga ni wale wale tu hana uwezo wa kumfunga tp mazembe.
Raja ndio mabingwa wa Afrika, sioni sababu ya kulalamika sana, muhimu tukacheze na wale walio na uwezo wa kawaida tupate matokeo, robo fainali bado inawezekana kabisa.
Wale ni wydad Casablanca, hawa ni raja Casablanca kuna tofauti hapo, hawa si mabingwa ni weupe kama simba tu, wakikutana na yanga wanaeza fungwa pia 😂😂🤣🤣🤣