Robertinho bado hajui anatafuta nini

Robertinho bado hajui anatafuta nini

Mbona leo hujaandika kama unavyoandika humu? Nanukuu "mimi ni shabiki wa Yanga ila kwa huyu kocha Simba watabeba makombe yote hadi kombe la unafiki"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nina WASIWASI na uongozi WA Simba kwenye UFUNDI. Ninawasiwasi na VIONGOZI WA Club ya Simba. Pia Nina WASIWASI mkubwa sana NA Robertinho. Simba wanachukulia poa SUPER CUP. B5 WANAZICHEZEA HOVYO HOVYO.
 
Mimi nasema ikitokea Simba akachukua Ngao siku hiyo, wote mnaolaumu na mnaolalamika kuhusu kocha mnatakiwa mkae kimya. Yaani msimpongeze kocha, msimpongeze mchezaji na msimpongeze kiongozi yeyote. Unafiki hautakiwi, kama umeona kikosi cha Simba ni kibovu, uendelee na msimamo huo huo hadi mwisho wa msimu watakaposajiliwa wachezaji wengine
 
Naunga Mkono hoja ya Mkuu Capo Delgado!

Uongozi wa Simba, hasa Try Again na Magungu! Inawezekana sio watu wa Mpira kama inavyosemekana!

Haiwezekani timu msimu wa tatu huu wameshindwa kutatua tatizo la kiungo mkabaji wa uhakika!
Kwa Sasa tunaweza sema tuna Ngoma, lakini asipokuwepo tu ,tunarudi kwa kina Mzamiru na Kanuote ambao wana kasoro nyingi kiuchezaji!
Viongozi wameenda kuongeza tatizo lingine kwenye beki wa kati, beki wa kushoto na golikipa!
Asipokuwepo Inonga au Che- eti sub ni Kennedy!
Kwa Shabalala- sijui sub ni nani!
Umefanyika Uzembe wa kumuacha Kakolanya, Huku wakijua Aishi anaumwa!
Mwisho! Binafsi sikuona haja ya kumtoa kocha Mgunda!
Huyu Robetinho- naomba boli halitembei kabisa!
Butua butua na anao anao nyingi sana!
Ingawa ligi ndio inaanza- ila inatia mashaka kidogo!

Mwisho! - au ni kweli yule Marehemu Hans popu- ndio alikuwa bingwa wa ku- scout
 
Hata ligi haijaanza malalamiko kibao mara kocha ampange fulani mara kocha hafai. Timu ndio kwanza imecheza mechi moja tu. Halafu ishu ya kipa si kuna tetesi za kumchukua kipa wa Far Rabat. Na isitoshe zoezi la usajili kwa Simba linatamatika August 30 hivyo acheni kuingilia majukumu ya watu, zile bilion tatu za usajili hakuna mshabiki yeyote wa Simba aliyetoa zaidi ya Mo mwenyewe. Sasa nyie ndio mnajifanya mna uchungu na Simba au mnaleta maneno maneno ili boss mumpandishe jazba boss aikache timu wakati mnajua boss achelewi kususa.
 
Back
Top Bottom