Robertinho, jana ulipaswa kuanza na wachezaji wafuatao ili tuone quality ya usajili wetu

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Wewe ni mbrazil, umewaangusha wabrazil wenzako, jana ilikuwa Simba day, siku ambayo tulipaswa kuona wachezaji wapya bila kujali matokeo, haukuwa mchezo wa ushindani kusema unatafuta points au kufuzu

Ningekuwa mm ningekushauri uanze hivi
1. Hussein Abel
2. David Kameta Duchu
3. Israel Mwenda
4. Hussein Kazi
5. Che Malone Ukuta wa Yericko
6. Abdallah Hamis
7. Kramo
8. Fabrice Ngoma
9. Shaaban Chilunda
10. Esomba Onana
11. Luious Micquisone

Baadae aingie Mosses Phiri, Peter Banda na huyo mtoto wako umpendae sana Dennis Kibu.

Mpira ni mchezo wa wazi na tunaufuatlia na kuupenda ndio maana watu wamekubali uwezo wa Che Malone, Fabrice na Onana kwa sababu wameona shughuli waliyofanya.

We endelea tu kuleta ujeuri.
 
La msingi Mheshimiwa Rais amesema atajenga viwanja viwili vya michezo huko Arusha na Mwanza....

Robetino nina wasi wasi jinsi atakavyoweza kupanga kikosi na kuwatumia wachezaji wote vizuri. Alafu ni mzito kufanya mabadiliko!
 
Hiyo Hussein Abel anaweza kukaa benchi hadi mwisho wa msimu labda Salim aumie.
 
Robertinho ata mechi za kujifurahisha anaogopa kufanya sub🤣🤣🤣🤣
Yanga kipindi cha kwanza walicheza wengine na cha pili wakacheza wengine but kwa mbrazil palikuwa pagumu alikuwa anaitaka mechi kwa nguvu zote🤓🤓🤓
 
Unampangia kikosi? Simba wametoka huko siku nyingi mnooo kiongozi. Nenda Ndanda fc,pamba ya lindi na mashujaa fc ya kigoma.
 
Anahisi ndio kupendwa Na Mashabiki, Sasa Mashabiki wameacha Kuongelea Simba Day wapo busy na Moses Phiri, Ujumbe Ameupata kesho Moses Phiri Atacheza
 
Kama NABII aliipa AYANGA kila kitu lakini amekimbia .

BONGO tupunguze pressure kwa makocha..1
 
La msingi Mheshimiwa Rais amesema atajenga viwanja viwili vya michezo huko Arusha na Mwanza....

Robetino nina wasi wasi jinsi atakavyoweza kupanga kikosi na kuwatumia wachezaji wote vizuri. Alafu ni mzito kufanya mabadiliko!
Kwahiyo wewe ulisikia ni MWANZA..!!
 
La msingi Mheshimiwa Rais amesema atajenga viwanja viwili vya michezo huko Arusha na Mwanza....

Robetino nina wasi wasi jinsi atakavyoweza kupanga kikosi na kuwatumia wachezaji wote vizuri. Alafu ni mzito kufanya mabadiliko!
Mbona siyo katavi simiyu na mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…