Robertinho kuja na wachezaji wake kutoka kwao imenikumbusha kocha Zoran Maki kuja na Derjan (mzungu)

Umeiona kamali yako

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
za ndaani kabisa inasemekana huyo kipa aliacha kucheza mpira tangu 2018 na kujikita kwenye shughuli za uvuvi robertinyo akamwambia kuna mimbumbu huku njoo tuipige pesa kama SAWADOGOπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Duh kweli kabisa na ndicho kilichotokea hapa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
za ndaani kabisa inasemekana huyo kipa aliacha kucheza mpira tangu 2018 na kujikita kwenye shughuli za uvuvi robertinyo akamwambia kuna mimbumbu huku njoo tuipige pesa kama SAWADOGOπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Kwa aina hii ya upigaji, kama wewe ni mwekezaji lazima utajiwa tu kichwani na wazo la kukata tamaa.
 
Naona utabiri wako umetimia bila shaka. Wametuumizia mlinda mlango wetu kabla hata ya kuanza kwa huo msimu wenyewe. Kweli washenzi siyo watu wazuri. πŸ˜ƒ
Mimi siyo mtu wa kujimwambafai ila najijua kuna vitu nimebarikiwa kuwa navyo mojawapo ni uwezo wa kuona mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…