NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salamu zangu umezipata au ulikua unashupaza shingo tu [emoji41]Tuma salamu
Umeiona kamali yakoHata Mbrazil Jaja aliwahi kuletwa na Kocha Maximo pale Jangwani.
Akawa kama huyo mlete mzungu.
Usajili ni kamali, unaweza kunufaika au kuliwa. Hata hawa wachezaji wa Afrika, anaweza akawa moto kwenye timu moja ila akihama anaenda kupwaya kwenye timu nyingine.
Hii huwa inatokana na mambo mengi ya ndani na nje ya uwanja (mfano, Tabia binafsi, Lugha, hali ya hewa, tamaduni, vyakula na mfumo wa kocha)
Duh kweli kabisa na ndicho kilichotokea hapaza ndaani kabisa inasemekana huyo kipa aliacha kucheza mpira tangu 2018 na kujikita kwenye shughuli za uvuvi robertinyo akamwambia kuna mimbumbu huku njoo tuipige pesa kama SAWADOGO😛😛😛
Kweli kabisa mkuuUmenikumbusha FERNANDO TORRES wa Liverpool na FERNANDO TORRES wa Chelsea
Duh sawa afikili umesikia ya mbrazilDejan alikuwa mchezaji mzuri ni vile tu mfumo wa timu haikufit na mikimbio yake. Alikuwa na mikimbio mizuri sana.
Mbrazil kavunda hukoVIJANA WA ZOLAN mark
1. Mohamed Ottara.
2. DEJAN Jedevic Mzungu.
Sasa unateseka wewe na mbrazil wenu huyo wa mchongoUnateseka na Tetesi ukiwa kilongawima nn?
Mwanachama usie hai.pita vileee
Maneno yangu umeyaona haya kipa lenu halina vigezoSasa we' mwana CCM, unawashauri wamsajili nani hao CHADEMA ili waje kufanya vizuri kukuzidi wewe msimu ujao?
Naona utabiri wako umetimia bila shaka. Wametuumizia mlinda mlango wetu kabla hata ya kuanza kwa huo msimu wenyewe. Kweli washenzi siyo watu wazuri. 😃Hapo kuna washenzi wanaojiita watu wa mpira wanajipanga wamuumize mwanzo wa msimu tu ukianza wakijua Simba hawana kipa mbadala.
Kwa aina hii ya upigaji, kama wewe ni mwekezaji lazima utajiwa tu kichwani na wazo la kukata tamaa.za ndaani kabisa inasemekana huyo kipa aliacha kucheza mpira tangu 2018 na kujikita kwenye shughuli za uvuvi robertinyo akamwambia kuna mimbumbu huku njoo tuipige pesa kama SAWADOGO😛😛😛
Mimi siyo mtu wa kujimwambafai ila najijua kuna vitu nimebarikiwa kuwa navyo mojawapo ni uwezo wa kuona mbali sanaNaona utabiri wako umetimia bila shaka. Wametuumizia mlinda mlango wetu kabla hata ya kuanza kwa huo msimu wenyewe. Kweli washenzi siyo watu wazuri. 😃
[emoji23][emoji23][emoji23]za ndaani kabisa inasemekana huyo kipa aliacha kucheza mpira tangu 2018 na kujikita kwenye shughuli za uvuvi robertinyo akamwambia kuna mimbumbu huku njoo tuipige pesa kama SAWADOGO😛😛😛