Robertinho: Kwangu Simba ni bingwa msimu huu

Robertinho: Kwangu Simba ni bingwa msimu huu

RATIBA YA MVUA.

Tunapenda kuwatangazia kuanzia leo itasimama kidogo mpaka tena siku ya Finali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC).

Tunaomba radhi kwa usumbufu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe simba wakimfunga yanga ni mafanikio kweli simba vilaza karibuni mjekuona fainali .
 
Walikaa kikao cha kuifunga yanga walifanikiwa. Angalia hawana kaja na ubingwa hawa ila wanaona kupiga keleke ndiyo mtaji wamepata.
 
Back
Top Bottom