Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 May 31, 2023 Thread starter #21 dem boy said: ali kamwe alimuonea mgunda...huyu chiba na andazi ndio bora andazi Click to expand... [emoji23][emoji23]
dem boy said: ali kamwe alimuonea mgunda...huyu chiba na andazi ndio bora andazi Click to expand... [emoji23][emoji23]
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 May 31, 2023 #22 USM ALGER said: RATIBA YA MVUA. Tunapenda kuwatangazia kuanzia leo itasimama kidogo mpaka tena siku ya Finali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC). Tunaomba radhi kwa usumbufu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
USM ALGER said: RATIBA YA MVUA. Tunapenda kuwatangazia kuanzia leo itasimama kidogo mpaka tena siku ya Finali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC). Tunaomba radhi kwa usumbufu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tumasa Senior Member Joined Dec 1, 2021 Posts 161 Reaction score 195 May 31, 2023 #23 Kumbe simba wakimfunga yanga ni mafanikio kweli simba vilaza karibuni mjekuona fainali .
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 May 31, 2023 Thread starter #24 tumasa said: Kumbe simba wakimfunga yanga ni mafanikio kweli simba vilaza karibuni mjekuona fainali . Click to expand... Kabisa mkuu wameona kama wamechukua kombe
tumasa said: Kumbe simba wakimfunga yanga ni mafanikio kweli simba vilaza karibuni mjekuona fainali . Click to expand... Kabisa mkuu wameona kama wamechukua kombe
Nyenyere JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 14,804 Reaction score 10,715 May 31, 2023 #25 Hili taifa limefikia pabaya, mpaka wageni wanaugua magonjwa ya afya ya akili!!
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 May 31, 2023 Thread starter #26 Nyenyere said: Hili taifa limefikia pabaya, mpaka wageni wanaugua magonjwa ya afya ya akili!! Click to expand... Rage akimaliza Kila kitu
Nyenyere said: Hili taifa limefikia pabaya, mpaka wageni wanaugua magonjwa ya afya ya akili!! Click to expand... Rage akimaliza Kila kitu
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 May 31, 2023 Thread starter #27 Nyenyere said: Hili taifa limefikia pabaya, mpaka wageni wanaugua magonjwa ya afya ya akili!! Click to expand... Rage akimaliza Kila kitu
Nyenyere said: Hili taifa limefikia pabaya, mpaka wageni wanaugua magonjwa ya afya ya akili!! Click to expand... Rage akimaliza Kila kitu
Auto-Marvelt JF-Expert Member Joined Jul 13, 2019 Posts 1,653 Reaction score 3,336 May 31, 2023 #28 Au anazungumzia Man city [emoji1787][emoji1787]
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 May 31, 2023 Thread starter #29 HB Zadd said: Au anazungumzia Man city [emoji1787][emoji1787] Click to expand... Hapana mkuu....ana maanisha makolo
HB Zadd said: Au anazungumzia Man city [emoji1787][emoji1787] Click to expand... Hapana mkuu....ana maanisha makolo
tumasa Senior Member Joined Dec 1, 2021 Posts 161 Reaction score 195 Jun 4, 2023 #30 Walikaa kikao cha kuifunga yanga walifanikiwa. Angalia hawana kaja na ubingwa hawa ila wanaona kupiga keleke ndiyo mtaji wamepata.
Walikaa kikao cha kuifunga yanga walifanikiwa. Angalia hawana kaja na ubingwa hawa ila wanaona kupiga keleke ndiyo mtaji wamepata.
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Jun 4, 2023 Thread starter #31 tumasa said: Walikaa kikao cha kuifunga yanga walifanikiwa. Angalia hawana kaja na ubingwa hawa ila wanaona kupiga keleke ndiyo mtaji wamepata. Click to expand... Kabisa mkuu
tumasa said: Walikaa kikao cha kuifunga yanga walifanikiwa. Angalia hawana kaja na ubingwa hawa ila wanaona kupiga keleke ndiyo mtaji wamepata. Click to expand... Kabisa mkuu