Robertinho ni kocha wa mpira kweli, naomba wana Simba tumheshimu kuanzia leo

Nilitegemea labda ungeniambia Boco kapiga mashuti mengi au alikua anawashughulisha mabeki kumkaba watatu ama vinginevyo lakini hamna!
 
Nitajie kocha wa simba mwenye matokeo kama ya robertinho toka umeijua simba
Matokeo ya tia maji tia maji!! Mechi ya leo wangeanza wale walioanza kipindi cha pili!! Boko hakuna alichokifanya, ball control zero, hawezi kushinda mpira wa kugombania, na anapoketeza karibuni kila pasi anayopewa!!
Kocha hatuna!! Tungekuwa na GOMES mambo yangekuwa!! Sikuibaliani na kumtoa Chama!! Kitendo cha kumtoa Chama kiliwatoa wachezaji mchezoni!! Ilibidi kuwabadilishia watumajukumu na kwenye tight match kama ile, kabla wachezaji hawajazoea mazingira ya kucheza bila chama, hii ilitoa mwanya wa Al Ahly kusawazisha.
 
Mamelodi Sundowns kila mwaka wanajipigia tu Al Ahly afu Makolokolo SC yanajisifu yana timu nzuri na Kocha bora [emoji16]

Mbumbumbu SC ni failed team, haiwezekani miaka nenda rudi Al Ahly anatutoa sisi Kufa Kiume SC na kuishia robo fainali "Mwakarobo".

Adui unacheza naye zaidi ya miaka 6 iliyopita lakini Malalamiko SC haina lolote nakati ilipaswa iwe imeshajua mbinu zote na aina ya silaha inazotumiaga Al Ahly kimchezo ili iwe inamfunga na kumtoa hata mara 1 1 tu.

Makolokolo SC ni overrated team kiubora isipokuwa inaonekana ikijitutumua kwa kupata hata sare kwa Al Ahly lakini haijifunzi kwa timu kubwa kama Mamelodi Sundowns ambapo awali ilikuwa ikisumbuliwa sana na Al Ahly lakini hatimaye sasa hivi Al Ahly ni Mchumba wa kawaida sana kwa Mamelodi Sundowns.

Kocha mbovu na timu ni hovyo tu wala tusijifariji Ndugu zangu Makolokolo SC..
 
Anamfunga Kila mwaka yess...afu kombe anachukua Nan?
 
Hao ni Mwakarobo FC wazee wa kulalamika.
 
Mamelod anamfunga Ahly kila mwaka halafu kombe anachukua nani.?

Maana yake Mamelod nae huwa anakufa kiume kama Simba Sc tu.
 
Alikuwa anatoa fowadi anaingiza beki.... Kwamba alilizika na matokeo?
 
SAMALEKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…