Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Nilitegemea labda ungeniambia Boco kapiga mashuti mengi au alikua anawashughulisha mabeki kumkaba watatu ama vinginevyo lakini hamna!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo ya tia maji tia maji!! Mechi ya leo wangeanza wale walioanza kipindi cha pili!! Boko hakuna alichokifanya, ball control zero, hawezi kushinda mpira wa kugombania, na anapoketeza karibuni kila pasi anayopewa!!Nitajie kocha wa simba mwenye matokeo kama ya robertinho toka umeijua simba
Jibu ni hakuna kocha kama yeye.Nitajie kocha wa simba mwenye matokeo kama ya robertinho toka umeijua simba
Mamelodi Sundowns kila mwaka wanajipigia tu Al Ahly afu Makolokolo SC yanajisifu yana timu nzuri na Kocha bora [emoji16]Mara baada ya mchezo wa leo kuisha kwa sare ya bao 1 1, nimekaa chumbani kwa dakika 30 nikimfanyia assessment kocha Robertinho kwa kile nilichokiona leo pale uwanjani Misri.
Kuna baadhi ya wachezaji ambao mashabiki wa Simba waliojifunza mpira miaka ya 2010 hadi sasa hawawakubali kabisa na hawako tayari kuwakubali lakini huwezi amini Robertinho ametia pamba masikioni na anawatumia wachezaji hao na kiukweli wanamsaidia sana, yaani wachezaji ambao sisi mashabiki tunawaona ni mzigo yeye Robertinho anawaona ni asset.
Mechi ya leo wengi hawakufurahishwa kuona Bocco akianza, lakini master Robertinho anamuona Bocco ni mzuri kiufundi kuliko Phiri, Baleke, Chilunda.Bocco anaonekana ana msaada sana kwa Robertinho kuliko tunavyofikiri sisi, wanasimba tumelalamika weeee lakini Robertinho ametuambia hapana, Bocco ni the best.
Wachezaji kama Esomba Onana sisi tunamuona sio mchezaji mzuri lakn Robertinho anamuona ni mtu hatari sana mcameroon huyo, Onana yuko kwenye majaribu tu lakini kiukweli ni mchezaji mzuri na style yake haitobadilika, wana Simba msimzomee Onana, ni mchezaji anayeaminiwa na Robertinho na ndio maana hajawahi kukaa benchi, asipoanza ataingia kipindi cha 2.Huyo ndio Esomba Onana.
Wachezaji kama Kibu Dennis, Saido, Mzamiru nao wanalalamikiwa sana lakini Robertinho ndio anajua uzuri wao, kwa kweli kocha huyu nimemvulia kofta kuanzia leo.
Wachezaji hao ndio wamepambana na kuiletea heshima Simba leo ingawa tumeondolewa kwa sheria ya bao la ugenini, tunawabeza akina akina Kapombe, Shabalala lakini ndio hao leo wamemweka katika wakati mgumu sana kocha wa Al Ahly.
Wana Simba tuheshimu taaluma za watu, sio kila anajua kufundisha mpira jamani, kumkabili mwarabu kwao kwa dakika 100 halafu matokeo ni 1 1 sio jambo dogo, kazi kubwa imefanyika.
Anamfunga Kila mwaka yess...afu kombe anachukua Nan?Mamelodi Sundowns kila mwaka wanajipigia tu Al Ahly afu Makolokolo SC yanajisifu yana timu nzuri na Kocha bora [emoji16]
Mbumbumbu SC ni failed team, haiwezekani miaka nenda rudi Al Ahly anatutoa sisi Kufa Kiume SC na kuishia robo fainali "Mwakarobo".
Adui unacheza naye zaidi ya miaka 6 iliyopita lakini Malalamiko SC haina lolote nakati ilipaswa iwe imeshajua mbinu zote na aina ya silaha inazotumiaga Al Ahly kimchezo ili iwe inamfunga na kumtoa hata mara 1 1 tu.
Makolokolo SC ni overrated team kiubora isipokuwa inaonekana ikijitutumua kwa kupata hata sare kwa Al Ahly lakini haijifunzi kwa timu kubwa kama Mamelodi Sundowns ambapo awali ilikuwa ikisumbuliwa sana na Al Ahly lakini hatimaye sasa hivi Al Ahly ni Mchumba wa kawaida sana kwa Mamelodi Sundowns.
Kocha mbovu na timu ni hovyo tu wala tusijifariji Ndugu zangu Makolokolo SC..
Hao ni Mwakarobo FC wazee wa kulalamika.Mara baada ya mchezo wa leo kuisha kwa sare ya bao 1 1, nimekaa chumbani kwa dakika 30 nikimfanyia assessment kocha Robertinho kwa kile nilichokiona leo pale uwanjani Misri.
Kuna baadhi ya wachezaji ambao mashabiki wa Simba waliojifunza mpira miaka ya 2010 hadi sasa hawawakubali kabisa na hawako tayari kuwakubali lakini huwezi amini Robertinho ametia pamba masikioni na anawatumia wachezaji hao na kiukweli wanamsaidia sana, yaani wachezaji ambao sisi mashabiki tunawaona ni mzigo yeye Robertinho anawaona ni asset.
Mechi ya leo wengi hawakufurahishwa kuona Bocco akianza, lakini master Robertinho anamuona Bocco ni mzuri kiufundi kuliko Phiri, Baleke, Chilunda.Bocco anaonekana ana msaada sana kwa Robertinho kuliko tunavyofikiri sisi, wanasimba tumelalamika weeee lakini Robertinho ametuambia hapana, Bocco ni the best.
Wachezaji kama Esomba Onana sisi tunamuona sio mchezaji mzuri lakn Robertinho anamuona ni mtu hatari sana mcameroon huyo, Onana yuko kwenye majaribu tu lakini kiukweli ni mchezaji mzuri na style yake haitobadilika, wana Simba msimzomee Onana, ni mchezaji anayeaminiwa na Robertinho na ndio maana hajawahi kukaa benchi, asipoanza ataingia kipindi cha 2.Huyo ndio Esomba Onana.
Wachezaji kama Kibu Dennis, Saido, Mzamiru nao wanalalamikiwa sana lakini Robertinho ndio anajua uzuri wao, kwa kweli kocha huyu nimemvulia kofta kuanzia leo.
Wachezaji hao ndio wamepambana na kuiletea heshima Simba leo ingawa tumeondolewa kwa sheria ya bao la ugenini, tunawabeza akina akina Kapombe, Shabalala lakini ndio hao leo wamemweka katika wakati mgumu sana kocha wa Al Ahly.
Wana Simba tuheshimu taaluma za watu, sio kila anajua kufundisha mpira jamani, kumkabili mwarabu kwao kwa dakika 100 halafu matokeo ni 1 1 sio jambo dogo, kazi kubwa imefanyika.
Mamelod anamfunga Ahly kila mwaka halafu kombe anachukua nani.?Mamelodi Sundowns kila mwaka wanajipigia tu Al Ahly afu Makolokolo SC yanajisifu yana timu nzuri na Kocha bora [emoji16]
Mbumbumbu SC ni failed team, haiwezekani miaka nenda rudi Al Ahly anatutoa sisi Kufa Kiume SC na kuishia robo fainali "Mwakarobo".
Adui unacheza naye zaidi ya miaka 6 iliyopita lakini Malalamiko SC haina lolote nakati ilipaswa iwe imeshajua mbinu zote na aina ya silaha inazotumiaga Al Ahly kimchezo ili iwe inamfunga na kumtoa hata mara 1 1 tu.
Makolokolo SC ni overrated team kiubora isipokuwa inaonekana ikijitutumua kwa kupata hata sare kwa Al Ahly lakini haijifunzi kwa timu kubwa kama Mamelodi Sundowns ambapo awali ilikuwa ikisumbuliwa sana na Al Ahly lakini hatimaye sasa hivi Al Ahly ni Mchumba wa kawaida sana kwa Mamelodi Sundowns.
Kocha mbovu na timu ni hovyo tu wala tusijifariji Ndugu zangu Makolokolo SC..
SAMALEKOJamaa anajua sana, hizi mechi ndio Simba tumezoea wanakufa 5, pia kama umeangalia mechi utaona Simba wametengeneza nafasi nyingi ni uzoefu mdogo tu ndio umewatoa. Mechi nzima imeisha Al Ahly ana on target 2 tu, sababu ya ukuta wa Simba iliwabidi kujaribu mashuti ya mbali mda mwingi.