Robertinho ripoti hii hapa Kuelekea 2023- 2024

Robertinho ripoti hii hapa Kuelekea 2023- 2024

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
Kila siku tunawaambia acheni kuleta wachezaji mizigo.

Timu inatakiwa ifanye mabadiriko makubwa mno ya kimfumo na kiuendeshaji.

Viongozi wanapaswa wajiuzuru

Na wachezaji waondoshwe.

Waajiri mkurigenzi wa ufundi ahusike moja kwa moja usajili.

1. Mohamed Ottara.
2. Joash Onyango.
3. Ismail Sawadogo.
4.Peter Banda.
5. Pape Sackho.
6.Agustine Okrah.

Wachezaji wazawa wa kuachwa
1. John Boko.
2. Jonas Mkude.
3. Gadiel Michael.
4. Nassor Kapama.
5. Habib Kyombo.
6. Steph Mwanuke

Nafasi muhimu za kujaza.
1. Golikipa nambari mbili.
2. Beki wa kushoto.
3. Mabeki wa kati .
4. Kiungo mkabaji 6 na 8.
5. Mshambuliaji wa kigeni futi sita.
6. Winga wa kushoto.

Zingatieni sana vimo vya wachezaji walau 6 feet.

Bora kusajili wachezaji wachache kuliko kuwa na rundo la wachezaji mizigo.

Mohamed Dewji. Kama umeenda kwenye ngumi baki huko huko huku kwenye mspira waachie wengine kumekushinda.

Try again.

Mangungou

Bodi ya wakurugenzi.
 
Kwahiyo wabadili timu nzima?

Kikosi kimechoka, Robertinho fundi ni sana kwenye kutumia vilivyopo kujaribu kukidhi mahitaji, tena kwa muda mfupi!

Kurithi timu iliyoiva au inayoelekea kuoza, ni tofauti na kutengeneza timu!

Ferguson, Wenger, Simeone na sasa Arteta, wameonesha uwezo wa kutengeneza timu ila SIO kwa misimu miwili tu!
 
Usajili ni kama kamari mzee
Acheni kulaumu
Hazard wa Madrid
Lukaku wa Man U na chelsea
Di maria wa Man U
Sancho wa Man U
Messi wa PSG
Richarlson wa Tottenham
 
20230508_200015.jpg
 
Mo nae Aondoke anaringa sana.

Haiwezekani Ukifika msimi wa usajili anakimbia anijitoa, timu ukifika makundi anarudi.

AENDE KWENYE NGUMI ZAKE HUKO SI ANATAKA NGUMI.

Mchez sana.....
 
Kila siku tunawaambia acheni kuleta wachezaji mizigo.

Timu inatakiwa ifanye mabadiriko makubwa mno ya kimfumo na kiuendeshaji.

Viongozi wanapaswa wajiuzuru

Na wachezaji waondoshwe.

Waajiri mkurigenzi wa ufundi ahusike moja kwa moja usajili.

1. Mohamed Ottara.
2. Joash Onyango.
3. Ismail Sawadogo.
4.Peter Banda.
5. Pape Sackho.
6.Agustine Okrah.

Wachezaji wazawa wa kuachwa
1. John Boko.
2. Jonas Mkude.
3. Gadiel Michael.
4. Nassor Kapama.
5. Habib Kyombo.
6. Steph Mwanuke

Nafasi muhimu za kujaza.
1. Golikipa nambari mbili.
2. Beki wa kushoto.
3. Mabeki wa kati .
4. Kiungo mkabaji 6 na 8.
5. Mshambuliaji wa kigeni futi sita.
6. Winga wa kushoto.

Zingatieni sana vimo vya wachezaji walau 6 feet.

Bora kusajili wachezaji wachache kuliko kuwa na rundo la wachezaji mizigo.

Mohamed Dewji. Kama umeenda kwenye ngumi baki huko huko huku kwenye mspira waachie wengine kumekushinda.

Try again.

Mangungou

Bodi ya wakurugenzi.
Unamsema mwenye timu?
 
Back
Top Bottom