Wewe wapigie wa kwako inatosha. Unataka wote tuombe hela ya vitafunwa asubuhi asubuhi kama binti wa kazi?Asubuhi yote hii unawaza maisha ya wengine badala ya kumpigia simu mama/baba umsalimie na kumjulia hali.
Kwanini muamini ni chuki binafsi wakati hakuna taarifa zozote?Ni tabia ya watu weupe akiamua kukubagua anakuwa na chuki kali sana pasipo sababu yoyote.
Ndio maana siwapendi kabisa makocha wazungu.Wana ujinga mwingi sana na maudhi na hawarekebishiki.
Ni wepesi kususa kwa sababu za kijinga.
Kwenye suala la Phiri sisi tunaamini ni chuki binafsi kwa sababu viongozi hawatoi taarifa yoyote.Kwa nini asicheze mechi kama ile ya bonanza?