Robertinyo alivyo, ataacha kumpanga Baleke kisha ampe nafasi Phiri mechi za muhimu kabisa ili atuchanganye tu

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Ni tabia ya watu weupe akiamua kukubagua anakuwa na chuki kali sana pasipo sababu yoyote.
Ndio maana siwapendi kabisa makocha wazungu.Wana ujinga mwingi sana na maudhi na hawarekebishiki.
Ni wepesi kususa kwa sababu za kijinga.

Kwenye suala la Phiri sisi tunaamini ni chuki binafsi kwa sababu viongozi hawatoi taarifa yoyote.Kwa nini asicheze mechi kama ile ya bonanza?
 
Asubuhi yote hii unawaza maisha ya wengine badala ya kumpigia simu mama/baba umsalimie na kumjulia hali.
Wewe wapigie wa kwako inatosha. Unataka wote tuombe hela ya vitafunwa asubuhi asubuhi kama binti wa kazi?
 
Ni tabia ya watu weupe akiamua kukubagua anakuwa na chuki kali sana pasipo sababu yoyote.
Ndio maana siwapendi kabisa makocha wazungu.Wana ujinga mwingi sana na maudhi na hawarekebishiki.
Ni wepesi kususa kwa sababu za kijinga.

Kwenye suala la Phiri sisi tunaamini ni chuki binafsi kwa sababu viongozi hawatoi taarifa yoyote.Kwa nini asicheze mechi kama ile ya bonanza?
Kwanini muamini ni chuki binafsi wakati hakuna taarifa zozote?
 
Shida hana rotation za harakaka..anasubiri watu wanachoka mpk ulimi unatoka nje ndo aje kubadilisha
 
Back
Top Bottom