Robertinyo ni bonge la kocha! Nimependa anao uthubutu

Robertinyo ni bonge la kocha! Nimependa anao uthubutu

Sub ya Chama ni very technical, baada ya kuusoma mchezo na kuona ni ngumu kuwafunga Mbeya City kupitia katikati, akaona ni bora aimarishe Wings, Magoli yapatikane kupitia pembeni. Akaingiza watu wenye kasi pembeni, kisha akamtoa chama ambaye yeye saido kiuhalisia walikuwa wanafanya kazi inayofanana.

Technical sub kama ile Mgunda hawezi fanya kwa kuogopa mashabiki, Kocha mwenye mbinu huwa ana react mapema baada ya kumsoma mpinzani. Sio mikocha yetu dakika 60 wachezaji wanacheza style hiyohiyo na kocha wala ha react. Huyu mzungu angekwepo toka mwanzo tusingefungwa wala ku draw draw kizembe.

Kongole kwa Mzungu, wachezaji wakielewa mfumo wake Simba itakuwa moja ya timu tishio sana kwa wapinzani.
Unatoa kongole kwa kocha kwavile matokeo yamebakia ya ushindi kwa Simba ila angetoa sare. Maneno yangekuwa tofauti. Ila Sub alizofanya aliigharimu Simba kwa kuwaifanya Mbeya city watawale mchezo kama vile hawakuwa pungufu
 
Kwa farsafa ya kutumia mawinga hata akipewa muda hawezi kutoboa hivi kwanza kwa winga gani iliyo nayo au hawa akina kibu?
Sasa atumie wachezaji wapi? Timu haiwezi kumtegemea chama tu, hakuna namna lazima atumie wachezaji waliopo kuijenga timu.

Hakuna ufahari wowote kushinda 7-0 kwa timu zisizo na mbinu ya kuikabili simba ya chama kisha unapoteza au kudroo na timu zenye mbinu katika mechi muhimu. Mfumo wa chama ukifeli basi simba imefeli.
 
Sub alizofanya aliigharimu Simba kwa kuwaifanya Mbeya city watawale mchezo kama vile hawakuwa pungufu
Lakini hebu tuangalie hiki kitu. Hivi mbona kabla Mbeya City hawajawa pungufu, si sub ilikuwa tayari imefanyika na Simba walikuwa tayari mbele kwa mabao 3-1 ?
 
Sasa atumie wachezaji wapi? Timu haiwezi kumtegemea chama tu, hakuna namna lazima atumie wachezaji waliopo kuijenga timu.

Hakuna ufahari wowote kushinda 7-0 kwa timu zisizo na mbinu ya kuikabili simba ya chama kisha unapoteza au kudroo na timu zenye mbinu katika mechi muhimu. Mfumo wa chama ukifeli basi simba imefeli.
Hakuna aliye sema timu imtegemee chama mbona unataka kupotosha ?ninacho kisema hapa ni afuate farsafa ya timu na sio kuja na sarsafa zake zisizo endana na timu wala wachezaji walioko pale simba kwa sababu viongozi simba wamefanya usajili unao endana na farsafa ya simba na sio kocha

Kwa aina ya mpila anayo hitaji huyu kocha pale simba hakuna wachezaji wenye
uwezo wa kuhimili mpila wa namna hiyo na akilazimisha timu itapata matokeo mabovu .

Ili timu icheze direct football ina hitaji mawinga wenye kasi na wanyumbilifu na wanao tumia akili na sio mawinga aina ya kibu ambao hawana unyumbulifu na pia hawatumii akili kwenye kufanya maamuzi,

Pia inahitaji kuwa na mmaliziaji mzuri hapo mbele na anaye tumia akili na sio wabutuaji kama akina kiyombo.

Yeye kocha kama anataka direct football basi asubiri musimu ujao awambie viongozi wamsajilie wachezaji wenye uwezo wa kucheza huo mfumo anao utaka na sio kuwarazimisha wachezaji kucheza kwa mfumo ambao hawawezi na mwisho wa siku timu inanze kupoteza point kizembe ikizingatia ligi imefika kwenye hatua ngumu sana.
 
Kwani wewe ni daktari wa Simba SC?

Mwenzako ametulia amekupa maneno ya busara, wewe unamuona hajui kwasababu akili yako imekomazwa na ufundi wa Mgunda...

Amka kijana, muda umebadilika.

Kocha mzungu anajielewa, akiachwa ataitengeneza ile Simba kila shabiki atamkubali, sio game yake ya kwanza tu mnaanza kelele zisizo na maana.
Huwa nasema bongo hakuna mashabiki kuna washamba Washamba tu,sasa suala la chama kutolewa nini cha ajabu pale?
 
Mungu atupe uhai baada ya miezi sita nitarudi kwenye huu uzi
 
Kiukweli kila mtu ana mtizamo wake kuhusiana na mechi ya Simba vs Mbeya City. Lakini kiuhalisia kocha mpumbavu atangángánia wachezaji wabovu ili tu timu icheze mfumo anaotaka yeye huku akipata matokeo mabovu lakini kwa kocha mwerevu yeye atangángánia wachezaji wenye uwezo ili wampe matokeo. Na siku zote namba/takwimu hazidanganyi.

Kwa wastani Kyombo na Kibu watakupa goli moja au ässist" kila baada ya mechi zaidi ya tatu wakati Chama na Sakho watakupa goli moja pamoja na "assist" kila mechi. Kama kweli Robertinho alikuwa anataka timu icheze "direct football" ambao anasema ndio mfumo wake vipi acheze na Kyombo dakika nyingi kiasi kile mtu ambaye hanyumbuliki, hawezi hata kupiga chenga, kufunga kwa kichwa hawezi japo ni mrefu na umbo kubwa, hajui kuji "position" kama mshambuliaji, kontroo chumba na sebule, kugeuka kwa ghafla shida, mashuti yake hayana macho, mahali pa kugusa mpira uende wavuni anapiga shuti, hawezi kukokota mpira hata mita tano bila kunyangánywa na adui hawezi na hata kuruka na mabeki wa timu pinzani kuwa "disturb" hawezi. Saidoo kaja juzi Simba pamoja na uzee wake ana goli tano hao Kibu na Kyombo wana goli ngapi katika mechi zote walizocheza tangu msimu uaanze?

Kwa hiyo manomtetea Kocha kubalini tu kuna makosa ameyafanya na akiendela nayo nafikiri hatakuwa na muda mrefu Simba. Kama ni suala la mfumo mbona ni rahisi sana kwanza angeendelea na mfumo alioukuta halafu yeye aanze kuwatengeza wachezaji wake wakina Kibu na Kyombo waanze kupunguza kutumia nguvu badala yake watumie akili ndio hapo aanze kutumia mfumo wake.
 
Sub ya Chama ni very technical, baada ya kuusoma mchezo na kuona ni ngumu kuwafunga Mbeya City kupitia katikati, akaona ni bora aimarishe Wings, Magoli yapatikane kupitia pembeni. Akaingiza watu wenye kasi pembeni, kisha akamtoa chama ambaye yeye saido kiuhalisia walikuwa wanafanya kazi inayofanana.

Technical sub kama ile Mgunda hawezi fanya kwa kuogopa mashabiki, Kocha mwenye mbinu huwa ana react mapema baada ya kumsoma mpinzani. Sio mikocha yetu dakika 60 wachezaji wanacheza style hiyohiyo na kocha wala ha react. Huyu mzungu angekwepo toka mwanzo tusingefungwa wala ku draw draw kizembe.

Kongole kwa Mzungu, wachezaji wakielewa mfumo wake Simba itakuwa moja ya timu tishio sana kwa wapinzani.
Muwe na akiba ya maneno maana nyie Makolo tunawajua sana hamnaga uvumilivu
 
Maamuzi magumu yanayo igharimu timu ni upuuzi simba haina uwezo wa kumiliki mpila bila chama.

Tatizo sio chama kutoka tatizo ni anatoka chama anaingia nani?
Hivi kocha una akili kabisa unamtoa chama una muingiza kibu kabisa?kibu ni mchezaji ambayo hafai kwenye mfumo wowote ule pale simba.

Alafu unacho takiwa kujua ni kuwa Simba farsafa yake ni kutumia viungo kufanya mashambulizi na sio mawinga ni lazima kocha haendane na falsafa ya timu kama hawezi asepe.

Timu yenye farsafa ya kutumia mawinga kufanya mashambulizi ni utopolo na ndio maana huwa wanapenda kusajili mawinga wanakimbia kimbia hovyo kama vichaa.
Cjajua Uwezo wako wa mpira ni mdogo au umekariri kwamba lazima chama acheze

Kama mashabiki wa mpira tutakuwa kama ww mpira wetu una safari ndefu saana
 
Kweli sisi makolo aisee. Kwanza Simba ina majeruhi wengi na tegemeo! Kocha akaona acheze na striker wawili ili awe na option mambo yakienda tofauti. Nje ya Sakho ni mchezaji gani mzuri aliyekuwa nje? Mbeya city pia sio timu mbovu, Mmesahau game ya Mbeya na timu ilikuwa kamili hadi tuliomba tupate fitness coach?

Mechi ya juzi hakuna mchezaji aliyecheza vizuri hadi kipa! Ni issue ya kocha? Inawezekana hata mazoezi ya fitness yalikuwa mazito na hiyo game na Mbeya City waliamua kupambana tu wapate point 3.

Huyu kocha angekuwa na timu walau miezi 6 tungejua falsafa yake kama inatufaa au haifai! Lakini game moja baada ya kufundisha siku 5 tunapiga kelele kama vichaa?

Mgunda anahitaji experience hawezi game ngumu za kimbinu hasa tunapoelekea! Mnaosema angeachwa amalize msimu ndio nyie nyie mliomtukana game alizofungwa au sare.

Huko champion league unakutana na timu benchi kuna mtu 7 zinatathimini mbinu alafu Mgunda ashindane mwenyewe? Hata Kibaden kutufikisha final CAF ni baada ya kujaribu mara kadhaa na kipindi hicho hakukujaa mifumo kama sasa. Mpira leo ni management kuanzia technical team, technology and kuweza kugeuza matokeo uwanjani.

Mgunda hajawahi hata ku manage assistant wawili aweze kuorganize ya Simba bila msaada huku tuna malengo makubwa champion league? Tuache tuliowapa timu wafanye kazi tutawahukumu muda muafaka.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Maamuzi magumu yanayo igharimu timu ni upuuzi simba haina uwezo wa kumiliki mpila bila chama.

Tatizo sio chama kutoka tatizo ni anatoka chama anaingia nani?
Hivi kocha una akili kabisa unamtoa chama una muingiza kibu kabisa?kibu ni mchezaji ambayo hafai kwenye mfumo wowote ule pale simba.

Alafu unacho takiwa kujua ni kuwa Simba farsafa yake ni kutumia viungo kufanya mashambulizi na sio mawinga ni lazima kocha haendane na falsafa ya timu kama hawezi asepe.

Timu yenye farsafa ya kutumia mawinga kufanya mashambulizi ni utopolo na ndio maana huwa wanapenda kusajili mawinga wanakimbia kimbia hovyo kama vichaa.
Hivi timu gani inaongoza ligi? Hivi Timu gani Ina mchezaji hatari Mwenye mabao mengi? Hivi mikimbio ya Moloko unaJua balaa lake?

Sisi utopolo tutaendelea kukimbia , kupiga makrosi na kufunga na kubeba makombe yote nyie mikia mtabaki na falsafa zenu za kufunga kutoka kwa viungo wenu kina chama!!
 
Back
Top Bottom