Tema mate chiniAnakuja kufundisha nini kwenye club fukara isiyo weza hata kujinunulia basi la kusafirishia wachezaji?
Mtasajili timu nzima, ili muwe na hao wachezaji kama wale wa Vipers?Kama ni kweli maombi yangu yatakuwa yamesikiwa, huyo kocha ni jembe, kwa namna alivyoitengeneza Vipers, tena ikiwa na wachezaji wa kawaida, amewapa chemistry wanacheza kitimu bila kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja, hakika Simba kama kweli wanamleta huyo mwamba wamelamba dume.
Kuna huyu jamaa shabiki wa Vipers anashukuru kuondoka kwake au ni maneno yake tu ya kujifariji?Kama ni kweli maombi yangu yatakuwa yamesikiwa, huyo kocha ni jembe, kwa namna alivyoitengeneza Vipers, tena ikiwa na wachezaji wa kawaida, amewapa chemistry wanacheza kitimu bila kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja, hakika Simba kama kweli wanamleta huyo mwamba wamelamba dume.
Kwanini hao TBL wasiinunulie Ihefu basi?Simba na Yanga ni mapacha. Wote hawana hela. Je ni basi gani Simba wameshawahi kununua kwa pesa zao?
Yutong walinunuliwa na TBL mengine walipewa na Africariers, yaani Mo anazidiwa hela hata na Malkia wa Nyuki
Wacheza kigodoro ni aibu kwa mchezo wa mpira hapa TanzaniaKwaio mgunda hatoshi?? Mbumbumbu ni mbumbumbu tu
Huko Yanga hakuna mwenye akili hata mmoja yote ni mazwazwa tupuKipimo cha kua na pesa ni kununua basi? Hakuna mtu au kampuni inayotoa bidhaa buree hayo mabus yanatolewa kimkataba..
Huko utopoloni kipimo cha kua na pesa ni kununua bus?
Kuliko hilo genge lenu la wacheza kigodoro? Mungekuwa timu imara Feisal angewajambisha hadi mnapagawa na kucheza uchi na kufanya ufuska hadharani?Dah! Mgosi mwenzangu Juma Mgunda ndiyo basi tena. Ametumikishwa kwa muda wote huu kama deiwaka tu! Yaani kama yule kocha mwenzake wa magolikipa, ndugu yetu Muharami!!
Hakika hii timu inaendeshwa kienyeji sana!!
Ihefu wanajitegemeaKwanini hao TBL wasiinunulie Ihefu basi?
We zwazwa Mayele anakusalimia[emoji1787][emoji1787]Wacheza kigodoro ni aibu kwa mchezo wa mpira hapa Tanzania
Klabu tajiri wamefukuzwa avic town walikopangisha hawalipi kodiAnakuja kufundisha nini kwenye club fukara isiyo weza hata kujinunulia basi la kusafirishia wachezaji?
Mshalambana vinyeo na mayele kama ile clip yenu mliofyatua na kina ali kamwe?We zwazwa Mayele anakusalimia[emoji1787][emoji1787]
Safi umemjibu huyo babu jibu mujarabu kabisa...Umeanza kuteseka ukiwa wapi?!
Kama huo utopolo ulioandika hapo ungekuwa una make sense, basi Simba SC ingekuwa ya mwisho kwenye msimamo wa ligi, lakini ndio kwanza Bocco na uzee wake bado anawakanda tu.
Na akija huyo kocha kutengeneza chemistry ya timu, hata Onyango nae atakuwa anatupia tu, huku hatutaki kumtegemea mfungaji mmoja pekee kama masharti ya mganga!
Kwisha habari yenuMshalambana vinyeo na mayele kama ile clip yenu mliofyatua na kina ali kamwe?
Mgunda anakuwa kocha msaidiziDah! Mgosi mwenzangu Juma Mgunda ndiyo basi tena. Ametumikishwa kwa muda wote huu kama deiwaka tu! Yaani kama yule kocha mwenzake wa magolikipa, ndugu yetu Muharami!!
Hakika hii timu inaendeshwa kienyeji sana!!
Kumbe mmeshakubali kuwa nyuma ya Yanga basi ubishi umeishaa rasmi..Umeanza kuteseka ukiwa wapi?!
Kama huo utopolo ulioandika hapo ungekuwa una make sense, basi Simba SC ingekuwa ya mwisho kwenye msimamo wa ligi, lakini ndio kwanza Bocco na uzee wake bado anawakanda tu.
Na akija huyo kocha kutengeneza chemistry ya timu, hata Onyango nae atakuwa anatupia tu, huku hatutaki kumtegemea mfungaji mmoja pekee kama masharti ya mganga!
Kwisha habar yako wewe mlambwa kinyeoKwisha habari yenuView attachment 2462838View attachment 2462840