Roberto Oliveira Aachana na Vipers, Kutua Simba

Utopolo wanavyohangaika na mabasi utafikiri ndio yanacheza mpira uwanjani!.

Kweli omba Mungu akunyime vyote lakini asikunyime akili..
 
Dah! Mgosi mwenzangu Juma Mgunda ndiyo basi tena. Ametumikishwa kwa muda wote huu kama deiwaka tu! Yaani kama yule kocha mwenzake wa magolikipa, ndugu yetu Muharami!!

Hakika hii timu inaendeshwa kienyeji sana!!
 
Kama ni kweli maombi yangu yatakuwa yamesikiwa, huyo kocha ni jembe, kwa namna alivyoitengeneza Vipers, tena ikiwa na wachezaji wa kawaida, amewapa chemistry wanacheza kitimu bila kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja, hakika Simba kama kweli wanamleta huyo mwamba wamelamba dume.
Mtasajili timu nzima, ili muwe na hao wachezaji kama wale wa Vipers?
 
Kama ni kweli maombi yangu yatakuwa yamesikiwa, huyo kocha ni jembe, kwa namna alivyoitengeneza Vipers, tena ikiwa na wachezaji wa kawaida, amewapa chemistry wanacheza kitimu bila kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja, hakika Simba kama kweli wanamleta huyo mwamba wamelamba dume.
Kuna huyu jamaa shabiki wa Vipers anashukuru kuondoka kwake au ni maneno yake tu ya kujifariji?
IMG_20221229_194315.jpg
 
Kipimo cha kua na pesa ni kununua basi? Hakuna mtu au kampuni inayotoa bidhaa buree hayo mabus yanatolewa kimkataba..

Huko utopoloni kipimo cha kua na pesa ni kununua bus?
Huko Yanga hakuna mwenye akili hata mmoja yote ni mazwazwa tupu
 
Dah! Mgosi mwenzangu Juma Mgunda ndiyo basi tena. Ametumikishwa kwa muda wote huu kama deiwaka tu! Yaani kama yule kocha mwenzake wa magolikipa, ndugu yetu Muharami!!

Hakika hii timu inaendeshwa kienyeji sana!!
Kuliko hilo genge lenu la wacheza kigodoro? Mungekuwa timu imara Feisal angewajambisha hadi mnapagawa na kucheza uchi na kufanya ufuska hadharani?
 
Umeanza kuteseka ukiwa wapi?!

Kama huo utopolo ulioandika hapo ungekuwa una make sense, basi Simba SC ingekuwa ya mwisho kwenye msimamo wa ligi, lakini ndio kwanza Bocco na uzee wake bado anawakanda tu.

Na akija huyo kocha kutengeneza chemistry ya timu, hata Onyango nae atakuwa anatupia tu, huku hatutaki kumtegemea mfungaji mmoja pekee kama masharti ya mganga!
Safi umemjibu huyo babu jibu mujarabu kabisa...
 
Dah! Mgosi mwenzangu Juma Mgunda ndiyo basi tena. Ametumikishwa kwa muda wote huu kama deiwaka tu! Yaani kama yule kocha mwenzake wa magolikipa, ndugu yetu Muharami!!

Hakika hii timu inaendeshwa kienyeji sana!!
Mgunda anakuwa kocha msaidizi
 
Umeanza kuteseka ukiwa wapi?!

Kama huo utopolo ulioandika hapo ungekuwa una make sense, basi Simba SC ingekuwa ya mwisho kwenye msimamo wa ligi, lakini ndio kwanza Bocco na uzee wake bado anawakanda tu.

Na akija huyo kocha kutengeneza chemistry ya timu, hata Onyango nae atakuwa anatupia tu, huku hatutaki kumtegemea mfungaji mmoja pekee kama masharti ya mganga!
Kumbe mmeshakubali kuwa nyuma ya Yanga basi ubishi umeishaa rasmi..
Yanga ndio bingwa na baba la soka hapa nchini kwaio muache kelele sana tujenge nchi
 
Back
Top Bottom