Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kwa timu gani uliyonayo?Nusu fainali tunaiona mzee
Labda kwa macho kama mlivyozoea miaka yote.Nusu fainali tunaiona mzee
SafiiiiiMamelodi Vs Yanga
Wote rangi moja.
Mmeanza eeh!Watuambie na mapema kama mamelody ni wabovu au laa
Tulia nimalizane na MasandawanaYanga tunaomba uchawi mnaotumia tumalize kazi kwa Mkapa