Robo Fainali CAFCL: Simba Sc kukutana na Kaizer Chiefs

Robo Fainali CAFCL: Simba Sc kukutana na Kaizer Chiefs

Kaizer hakuwa vyema katika kundi lake
Lakini isiwe sababu ya kuwachukulia poa
Simba kila la kheri
Screenshot_20210430-160609.png
 
Hapana kijana.....nimeuliza kwa wema tu wala si kwa ubaya.......sisi wengine tunaitegemea Jf kama pahala sahihi kwa kupatia habari mbali mbali za uhakika.......
Ok jokes tu mwanangu. Ndo maskani yetu hiii. Vp lakin tunatoboa simba au ww yanga nna wasi wasi maaana
 
Wekeni draw nzima ili tujue mwelekeo wa nusu ulivyo pia.
 
Uswahili umekujaaa.pyeeeeeee
Jamaa ungetulia tu ungeandika vizuri. Kwanza jina la team ya pili hujalitendea haki kwa kuanza na herufi ndogo na pia kulikosea jina lenyewe.

Ulipaswa kuandika 'Kaizer Chiefs' na sio kaizer chief.
 
Ligi bora kwa haraka ni South Africa imagine kaizer yupo wa nane kwao ila #CAFL yupo robo fainali


Ila Simba ni bora kwa kaizer
Jinsi ulichoandika tu wewe hauitakii mema simba
 
Back
Top Bottom