Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 May 22, 2011 #1 Mechi ya kwanza ilikuwa kati ya Ilala na singida, mchezo umemalizika kwa ilala kupata goli 3 kwa beseni na mechi inayoendelea kwa sasa ni Arusha na Mwanza..
Mechi ya kwanza ilikuwa kati ya Ilala na singida, mchezo umemalizika kwa ilala kupata goli 3 kwa beseni na mechi inayoendelea kwa sasa ni Arusha na Mwanza..
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 May 22, 2011 Thread starter #2 dakika ya 10 jerry tegete anaipatia mwanza goli la kuongoza..
kipindupindu JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 1,053 Reaction score 170 May 22, 2011 #3 Si walisema wachezaji wa ligi kuu ni marufuku kucheza taifa cup?huyo tegete anatafuta nini sasa.
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 May 22, 2011 Thread starter #4 mchezaji wa mwanza frank sekule anaonyeshwa kadi ya njano baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wa arusha..
mchezaji wa mwanza frank sekule anaonyeshwa kadi ya njano baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wa arusha..
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 May 22, 2011 Thread starter #5 kipindupindu said: Si walisema wachezaji wa ligi kuu ni marufuku kucheza taifa cup?huyo tegete anatafuta nini sasa. Click to expand... wanaruhusiwa kutumia wachezaji wasiozidi 5..
kipindupindu said: Si walisema wachezaji wa ligi kuu ni marufuku kucheza taifa cup?huyo tegete anatafuta nini sasa. Click to expand... wanaruhusiwa kutumia wachezaji wasiozidi 5..
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 May 22, 2011 #6 Wafungaji wa mabao ya Ilala?
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 May 22, 2011 Thread starter #7 abdallah abed wa arusha ameonyeshwa kadi ya njano baada ya kumkwatua mchezaji wa mwanza
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 May 22, 2011 Thread starter #8 Jabulani said: Wafungaji wa mabao ya Ilala? Click to expand... nilichelewa kuingia nikakuta wanaongoza kwa goli hizo 3, nimejaribu kuuliza sipati jibu la kueleweka..
Jabulani said: Wafungaji wa mabao ya Ilala? Click to expand... nilichelewa kuingia nikakuta wanaongoza kwa goli hizo 3, nimejaribu kuuliza sipati jibu la kueleweka..
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 May 22, 2011 Thread starter #9 mwanza wanapata goli la pili..
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 May 22, 2011 Thread starter #10 wakati timu zikiwa kwenye vyumba vya kubadilisha nguo, jo makini anatumbuiza hapa.
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 May 22, 2011 Thread starter #11 mwanza 2 na arusha 1 goli la arusha lilifungwa na mohamed juma