Robo fainali Kil taifa cup

Robo fainali Kil taifa cup

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,741
Mechi ya kwanza ilikuwa kati ya Ilala na singida, mchezo umemalizika kwa ilala kupata goli 3 kwa beseni na mechi inayoendelea kwa sasa ni Arusha na Mwanza..
 
dakika ya 10 jerry tegete anaipatia mwanza goli la kuongoza..
 
Si walisema wachezaji wa ligi kuu ni marufuku kucheza taifa cup?huyo tegete anatafuta nini sasa.
 
mchezaji wa mwanza frank sekule anaonyeshwa kadi ya njano baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wa arusha..
 
abdallah abed wa arusha ameonyeshwa kadi ya njano baada ya kumkwatua mchezaji wa mwanza
 
wakati timu zikiwa kwenye vyumba vya kubadilisha nguo, jo makini anatumbuiza hapa.
 
mwanza 2 na arusha 1 goli la arusha lilifungwa na mohamed juma
 
Back
Top Bottom