Utakuwa mtoto wa 'O' level wewe, too childish for JFKwa hiyo niache kubana dadake? Naona zinazidi kuuma[emoji23][emoji23]
Hivi inawezekana mpaka leo kocha hafahamu uwezo wa wachezaji wake?Kitendo tu cha kumtoa Juuko imeonekana hajui anachokifanya
Gambo alianza kuwaambia watu hapa kibo palace uongozi wa mtukufu uliotukuka ndio unaleta ushindi baada ya goli la okwi.
Hizo goli ni himilivu simba wanaweza sawazisha...
Ndio sana wanawakojoza vingi.Inawezekana hawa Tp mazembe wanatumia lile vumbi lao
Mji kimyaaaaaAsante sana Tp Maze mbe
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu, you need to calm down...