Balqior JF-Expert Member Joined Jun 8, 2021 Posts 2,406 Reaction score 8,039 Apr 7, 2022 #1 Kuna mtu alileta uzi humu wiki moja iliopita kuwa laki 2 inagombewa Pale manyanya, nani aliibuka mshindi kati ya Walioingia robo fainali Ya drafti (Cisco, athumani na Yasini?) Mwenye habari atujuze Darius RR ilala yetu
Kuna mtu alileta uzi humu wiki moja iliopita kuwa laki 2 inagombewa Pale manyanya, nani aliibuka mshindi kati ya Walioingia robo fainali Ya drafti (Cisco, athumani na Yasini?) Mwenye habari atujuze Darius RR ilala yetu